Nawasihi sana viongozi wetu kumtanguliza Mungu mbele katika vita dhidi ya corona. Msimwonee Mungu haya katika jambo hili. Usalama tulionao tofauti na mataifa mengine siri yake ni kwamba Rais wetu...
Chama cha Mapinduzi kimesema kinaridhishwa na kutambua jitihada kubwa zinazochukuliwa na serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan katika sekta ya uwekezaji ambapo mazingira ya mazuri ya kuaminika...
Habari wakuu,
Napenda kumshauri mama yetu Samia Hassan, ikimpendeza anzishe tovuti maalumu ya kuweza kupokea malalamiko, maoni na ushauri kutoka kwa wananch wake.
Hii itasaidia kubaini...
Kwema wanajamvi, tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uzima na afya. Poleni na majukumu mbalimbali ya kulijenga taifa, Moja kwa moja naomba niende kwenye mada.
Wahenga walisema "Hakuna marefu...
Nimepata wazo ila sina connection kwa mikoa yote. Mtaka baada ya kuwaapisha (au kabla) wakuu wa wilaya akatoa speech fulani yenye shibe sana. Hawakukosea kumuweka pale Dodoma.
Sasa wazo langu ni...
Mbunge wa Jimbo la Ukonga Mhe. Jerry Silaa ameiomba Serikali kutofuta adhabu kwa Makampuni Makubwa kwa utoroshaji wa fedha nchini kwa kutumia kigezo cha "TRANSFER PRICING" kwani makampuni hayo...
Kila wakati inaonekana kama hatumtaki Rais wetu lakini hali inayoonyeshwa na mwajiliwa wetu kwa kweli ni mbaya sana. Waliopanga press conference sijui walitegemea nini!
Mtu anaulizwa kwa nini...
Mwijage, Kakunda wakiri kushindwa kufufua viwanda
WEDNESDAY JUNE 23 2021
Summary
Mawaziri wa zamani wa viwanda na biashara leo Jumatano Juni 23, 2021 wamekiri bungeni mjini Dodoma kuwa...
Mwaka 2020 TAKUKURU ilifanya kazi yakuwahoji wa bunge wote wa CHADEMA mmoja baada ya mwingine.
Lengo lilikuwa ni mini? Wananchi na vyama vya upinzani tulijifunza nini? Je, mwaka huu hakuna wa...
Katikati ya uzingizi mzito uliosababishwa na uchovu wa siku nzima ya jana, nimeota. Na bahati nzuri au mbaya kila nikiota mara nyingi huwa yanatokea.
Nimeota kuwa kuna mti mrefu pale Arusha...
This news of Speaker Ndugai stripping Tundu Lissu of his parliamentary membership is not sitting well with me.
The reasons given are him [Lissu] not officially apprising the parliament about his...
Tulizoea leo mwenyekiti kaliamsha huko Mwanza, kesho katibu kawaletea amsha amsha Dar, jumamosi Katibu mwenezi analeta amsha amsha kwenye Papo kwa hapo pale Channel 10.
Sahivi utadhani chama...
Ile Taasisi bora ya vijana barani Africa kwa sasa, BAVICHA, imewasili nchini Zambia ambako inawajulia hali Lundo la Wafanyabiashara wa Tanzania kutoka Tunduma na maeneo mengine ambao walitafuta...
MKUTANO WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA JUMUIYA YA MAENDELEO KUSINI MWA AFRIKA (SADC) - MAPUTO, MSUMBIJI LEO JUNI 23, 2021
Rais wa Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC, Mhe. Filipe Nyusi
# Kwa niaba...
Ni Wazi sasa hawa Vijana wamechoka. Kenani Kihongosi DC wa Iramba ateuliwa kuwa Katibu Mkuu UVCCM. Yule Msanii aliyekua Arusha wananchi wakamlalamikia.
====
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimemteua...
Habari wanajamvi,
Wiki hzi tatu au mwezi huu tumekuwa na mijadala mingi hasa inayohusu uteuzi na teuzi mbalimbali.
Kinacholeta mjadala kingine ni katika masuala ya Muungano, Nacho nauliza kama...
Maadui wakubwa wa taifa hili wamekuwa siku zote ni ujinga, maradhi na umasikini.
Miaka 60 ya uhuru leo tungali humo humo.
Hali halisi tishio jipya la corona
Leo hii pamoja na tahadhari zote za...
Mh Rais tuundie TUME HURU itakayochunguza uhalali wa nyaraka za baadhi ya wabunge.
Kodi zetu zinawalipa wa bunge feki,kama vipi basi turudishe kodi ya kuku na mbwa ili kupanua wigo wa kodi...
Summit also expressed heartfelt condolences to Dr. Magufuli’s family, Her Excellency President Samia Suluhu Hassan, the Government and the People of the United Republic of Tanzania on the passing...
Watu wote nchini wako wilayani na wanaishi wilayani. Wilaya ndio uti wa mgongo wa taifa na uti wa mgongo wa maisha yote ya watu. Ukikosea kwenye wilaya utakosea kwenye taifa pia. Hivyo kiongozi...