Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

DC JOKATE MWEGELO: TAA ZA KISASA KUWEKWA ENEO LA NJE MKABALA NA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA TEMEKE. MKUU wa Wilaya ya Temeke, Mhe Jokate Mwegelo ametanabaisha dhamira yake ya kubadilisha taswira ya...
3 Reactions
40 Replies
6K Views
Tukubaliane tusikubaliane Rais Samia kashakubali mradi wa Bagamoyo kwa masharti aliyoyakataa Magufuli na ambayo Kikwete aliyakubali. Kwa hivi sasa ni kiini macho kinafanyika. Watatumwa watu...
2 Reactions
42 Replies
47K Views
MAKAMU wa Rais wa JMT, Dk. Philip Mpango, amewasili nchini Ufaransa kwa ajili ya kumuwakilisha Rais Samia Suluhu kwenye Jukwaa la Kizazi Chenye Usawa (Generation Equality Forum) linalofanyika...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Dalili zote zinaonyesha CCM itaanguka uchaguzi huu au ikishinda kiongozi mkuu atapata msukosuko mkubwa kutawala na mwisho wake ataanguka. Uwenda kukawepo na mabadiliko makubwa hata kama dicteta...
23 Reactions
59 Replies
7K Views
Habari wana JF Ni muda sasa, tangu mwezi wa sita hivi nimekuwa nikisikia kwamba Serikali ipo katika hatua za mwisho za kuzuia wafanyakazi wa sector binafsi kuchukua NSSF zao mpaka wafikishe umri...
0 Reactions
533 Replies
83K Views
Wakuu Asalam aleikum, Hayati Magufuli aliwahi kusema kuwa "your not free to such extent" akiwatahadharisha wanahabari juu ya kile alichokiita upotoshaji na kuwaonya vikali. Baada ya kauli hiyo...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Mama omba radhi Watanzania kauli yako ya kusubiri kwanza kufufua uchumi ndiyo turuhusu marekebisho ya katiba na mikutano ya kisiasa hii umechemka. 1. Utachukiwa kuliko hata JPM 2. Utapoteza...
11 Reactions
104 Replies
6K Views
Vipo viashiria kwa mbali vinaonyesha kuwa rais Samia ameanza kukizoea kiti (Hili ni jambo zuri), na pia ameanza kukipenda kiti (hili siyo jambo baya) ila ameanza kutamani kukilinda kiti kwa...
9 Reactions
53 Replies
3K Views
WanaJF, Uzi nauandika nikiwa na hofu ya misleading kubwa ktk suala hili la Katiba Mpya, ni kweli Katiba Mpya ni muhimu sana kwa kuwa ya sasa ina matundu makubwa sana lakini nachosikitika...
1 Reactions
5 Replies
622 Views
Anaripoti Peter Elias- Mwananchi Dar es Salaam! Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amebainisha katika kitabu chake kwamba maisha ya wapinzani bungeni yalikuwa magumu kutokana mbinu...
9 Reactions
40 Replies
4K Views
Miaka nenda rudi majimaji,maziwa,mito na mabwawa yamejaa. Wamisionari walijenga miradi ya maji miaka mingi lakini bado inadumu na inafanya kazi. Miradi kichefuchefu nani husababisha.
0 Reactions
1 Replies
731 Views
Waziri wa Ardhi Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amewaagiza wataalamu wa wizara anayoiongoza kuwakabidhi mradi wa viwanja 20,000 viongozi wa Halimashauri ya Wilaya ya Kigamboni. Waziri Lukuvi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA Kikao cha kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kimefanyika Jumanne Juni 29, 2021 chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema bado upo umuhimu wa Tanzania kuwa na Katiba mpya kwa sababu ni maoni ya wananachi. Warioba alitoa...
7 Reactions
97 Replies
14K Views
Ukweli siku alipokufa nilifurahi, sikufurahia kifo chake, bali nilifurahi kwa sababu ameondoka kwenye kiti cha taifa. Nilifurahi kapisha kiti hicho kwa sababu Mimi nilimuona hakufaa kukalia kiti...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Chama kinachojibainisha kama kikuu cha upinzani kimekuwa kinalizungumzia suala la katiba kama vile bado halijashughulikiwa. CHADEMA wamekuwa wanataka wapate aina fulani ya Katiba ambayo...
1 Reactions
13 Replies
929 Views
Ukisikiliza tena kwa makini ni kama naye hapendi kukosolewa. Anasema kabisa sio na kigazeti chako mara uandike samia hivi mara vile, vingine vya uongo vingine vya ukweli. Hii kauli inalenga...
7 Reactions
45 Replies
3K Views
Najua kwa sasa tunajitahidi sana kuvumilia vumilia na kujipendekeza ili tupate cheo au ulaji flani. Sasa hali hii ni kama tunakuwa kwenye tension fulani. Na kila mtu anajaribu kuja na maneno...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Askofu Dkt. Benson Bagonza, Askofu Mkuu wa kanisa la KKKT Dayosisi ya Karagwe "Nampongeza mama kwa "100 kwanza". Namwombea "100 tena" zenye maono mapana zaidi" "Haki na uhuru ni misingi imara ya...
38 Reactions
110 Replies
10K Views
Mhe. Balozi Hussein Katanga, Katibu Mkuu Kiongozi, nakuomba na kukusihi sana msaidie ipasavyo Mhe. Rais kutekeleza majukumu yake. Nimefuatilia teuzi za U DC kuna dosari kubwa. Kuna uwezekano...
26 Reactions
95 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…