Rais Samia Suluhu Hassan's first major test

tajiri tumbo kubwa

JF-Expert Member
May 27, 2021
429
566
Nangoja kwa hamu sana hapo tarehe 30 Juni, when the BOT report that president Samia Hassan ordered for will finally be handed over to her, nasubiri sana kuona kitakachotokea kwa watakaotajwa, na pia kama wahusika watatajwa wazi bila Rais Samia kuficha majina yao, na sababu waziri wa fedha wakati wa hiko kipindi ashapandishwa cheo sasa yeye ndie no 2 serikalini na hakuna vile hii wizi ulifanyika bila yeye i-kufahamu, kujua na most likery kushiriki.

Nangoja kuona kama mama atamchukulia hatua za kisheria bila uoga wala mapendeleo, tena nangoja kuona kama aliyekuwa pay master general at the time, the nephew of jiwe who must have been involved virtue of him being the pmg, if legal actions will be taken against him, and also if the billlions looted in this short period of time will be recorved and brought back to the public purse, nasubiri kwa hamu sana, hii ndio itakuwa thibitisho kuu kama mama atatenda haki kwa walipa kodi wa Bongo.

Nawasilisha hoja.
 
Ameshatenda haki kwa kuwaachia huru wengi tu waliobambikiwa kesi.

Ameshatenda haki kwa kuwaagiza TRA na wizara ya fedha wakusanye kodi kisayansi zaidi kuliko kuwatesa walipaji.
Kutenda HAKI hakuna mwisho...huwezi sema alimetenda haki a,b,c,d... kwahiyo katika hili hapaswi kutenda haki!

Kama kuna wizi, ubadhirifu, ufisadi, matumizi mabaya ya ofisi, rushwa na nduguze kama hao...inapaswa Mh. Rais aendelee kuwatendea HAKI watanzania kwa kusimamia HAKI kwa walafi hao!

Haki haina mwisho. Haki ni bahari huwezi ipima!
 
Mbona unaeleza kama tayari unajua yaliyomo kwenye ripoti. Wewe ulikuwa ni mshiriki katika ripoti hiyo?
 
Real men have discipline, hauwezi kuandika jina la mtu kwa kuanza na herufi ndogo hata kama unamchukia thats not protocol, tuendelee kwenye mada unafikiri ni kipi kinakuwa kigumu kwake mpaka iwe ni test ingali ni yeye aliyeagiza uchunguzi ufanyike na ripoti iwekwe hadharani, kwani unafikiri angeamua kunyamazia au kutowekwa hadharani ripoti hiyo kuna kipengele kingembana,wakati mwingine tutumie logic ndogo tu kuijua dhamira ya mtu na tusiendeshwe na mihemuko tu ya chuki kwa mtu.
 
Ripoti haijasomwa, kwanini tayari wewe unaamini kuna madudu.

Sasa hivi mmeshaji-tune kisaikolojia kuwa kuna tatizo, ikitokea matokeo yakawa kinyume na mlivyodhani tayari mtakuja na stori nyingine.

Jamani Mungu aliwaumba na vichwa, acheni kumkabidhi vuchwa vyenu kigogo.
 
Kwani mama naye alikabidhi kichwa chake kwa Kigogi? Maana ripoti aliyoagiza mama ni ya muda uleule January to March ambao Kigogo alishasema hela zilikwapuliwa na Bashiru, Mchembe na Dotto.


Ni kweli Kigogo hakumtaja Philip Mpango hivyo sishangai akinusurika wakafyekelewa mbali waliotajwa na kigogo.

Mimi Magufuli alipougua nilikabidhi akili yangu kwa Tundu Lissu na Kigogo na ni kweli aliugua.

Jamani Mungu aliwaumba na vichwa, acheni kumkabidhi vuchwa vyenu kigogo.
 
Unahitaji PhD kujua kuwa ripoti ilicheleweshwa makusudi ili ichakachuliwe ili kuokoa waliopo madarakani?Ni punguani peke yake ndiye anaweza kuamini kuwa CCM inaweza kutoa Rais mwenye nia njema na nchi hii.
 
Yale yale ya kuzuga na barakoa ili kuonesha tatizo la corona ni kubwa. Barakoa zenyewe mkivaa mnatweta kwa kuhemea juu juu. Kazi kweli kweli.
Ahahahahahah na saivi eti tuna wagonjwa 100 aisee mbinguni wataenda wachache wallah tena!

Mama naye ashaanza uswana!
 
Umeweka mbwembwe nyingi tu. Usifikiri rais ni mjinga kiasi cha kumpa cheo Dr Mpango. Endelea kuhamisha magoli.
Hii hoja yako inakosa uhalali, tumeshaoona teuzi kadhaa zikitenguliwa muda mchache baada ya kuteuliwa muhusika.

Na hiyo inajidhihirisha kuwa binadamu hukosea.
 
Back
Top Bottom