Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mhe, Rais, Mhe. Palagamamba M.A. Kabudi waziri mwandamizi katika serikali yako mwaka 2012/13 katika viunga vya Nkurumah Hall chuo kikuu cha Dar Es Salaam, alitoa ushauri huu juu ya katiba Mpya...
8 Reactions
23 Replies
2K Views
Huu ndio ule mwendelezo wa ile kampeni ya kudai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi inayoitwa OPERESHENI HAKI , Ambayo tayari imeingia Kanda ya Pwani . Pichani : ni Mwamba mwenyewe akiwa jimbo...
11 Reactions
69 Replies
7K Views
Kisiwandui Zanzibar Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndg Daniel Chongolo Leo Julai 5, 2021 amekutana na Kufanya Mazungumzo na Wazee pamoja na Waasisi wa Chama Cha Mapinduzi katika Afisi Kuu ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Msemo wa Kiswahili akili nyingi huondoa maarifa unaakisi hulka za CHADEMA katika harakati zao za kudai katiba mpya. Ni sheria ya asili (Natural Law) kwamba sheria hutengezezwa na wenye mamlaka ili...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika nyakati ambazo Wapinzani wanatakiwa wawe makini basi ni nyakati hii. Ni nyakati ya wapinzani kaucha jazba na kuwa wastaarabu sana na wenye kujenga hoja bila MIHEMKO. Kwa sababu sasa hivi...
17 Reactions
81 Replies
5K Views
MFAHAMU HOYCE TEMU KATIKA ULIMWENGU WA DIPLOMASIA NA MAHUSIANO YA KIMATAIFA 📍Hoyce Temu alisoma Stashahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Mahusiano ya Kigeni yaani Post Graduate Diploma in...
17 Reactions
60 Replies
12K Views
Tahariri hii imetoka gazeti la Zama Mpya Na. M. M. Mwanakijiji Mojawapo ya ahadi za TANU ilikuwa ni ile iliyosema “Binadamu wote ni sawa” na pia “kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na...
83 Reactions
328 Replies
42K Views
"Tuwaendee wananchi kwenye mikutano ya hadhara. Mimi nawaahidi tukitengeneza utaratibu wa mikutano ya hadhara, mimi ninakuja Tanzania Samia aruhusu, asiruhusu nakuja kufanya mikutano ya hadhara...
43 Reactions
207 Replies
15K Views
Nanukuu Askofu Dkt. Benson Bagonza anasema. "Hoja ya katiba mpya pamoja na sababu nyingine nyingi, inalenga kupunguza au kuondoa mgongano wa hatari kati ya ukuu wa katiba na ukuu wa Rais. Kwa...
4 Reactions
22 Replies
1K Views
Freema Mbowe, Mwenyekiti wa Chadema Mbowe hajabainisha hoja ya kumwonesha Rais Samia kwamba kuna uharaka wa Katiba Mpya Kazi mojawapo ya Kurasa za Mama Amon ni kutathmini siasa za kitaifa kwa...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Wanabodi, Nashawishika kuamini kwamba kwa shughuli za kisiasa wanazozifanya CHADEMA kwa sasa katika jimbo la Segerea zinazotokana na mtaji mkubwa wa kisiasa ulichonacho chama hicho jimboni hapo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Salaam WanaJF! Licha ya kuwa ni Public figure, lakini Rais wa Nchi kama yetu ni Mkuu wa Nchi. Mkuu wa nchi ni alama ya nchi. Taswira yake inapaswa kulindwa. Na wapo watu ambao wanalipwa mshahara...
7 Reactions
306 Replies
17K Views
Tunafundishwa katika chumba kimoja toka shule ya msingi Hadi sekondari na vyuo. Katika maisha ya shule na vyuo watu wenye akili mara nyingi uwa na tabia yakuburuzwa kimaarifa na walimu au watu...
10 Reactions
12 Replies
1K Views
Chadema ni chama cha siasa chenye wanasiasa ambao si makini. Ni chama kilichokusanya watu wanojiita wanasiasa lakini hawana mbinu za kuishi kwenye siasa. Miaka mitano ilopita Chadema walipata...
7 Reactions
114 Replies
7K Views
Katika Mkutano uliofanyika jana huko Zanzibar Ndugu Shaka Hamidu Shaka amesisitiza watanzania kumuunga mkono Mama Samia na Dkt Hussein Mwinyi katika kusukuma maendeleo na kuimarisha uchumi. Pia...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mama siyo hamnazo (empty set ama clean slate) ana ufahamu na anawafahamu wanaccm. Anajua kwamba ninyi si watu wazuri, kwa unafiki na ukigeugeu hamjambo. Kwa namna mlivyo geuka (u- turn) kutoka...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Wahenga walisema “Muungwana akivuliwa nguo huchutama” na “asiyefunzwa na mamaye atafunzwa na ulimwengu.“ Tarehe 01 Julai 2021 Mdude Nyagali (Mdude CHADEMA) akiwa katika kongamano la kudai katiba...
5 Reactions
78 Replies
7K Views
Kiongozi wa ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amesema siasa zilizo bora ni siasa za Ushawishi. Hata hivyo amesema wanasiasa wa Taznzania wanapata ugumu wa namna ya kufanya siasa bila kuhasimiana na...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za asubuhi wanajamvi. Jana zilisambaa picha nyingi zikimuonesha RAIS watu akiwa Ofisini akiongea na Simu aliyopigiwa na Rais Wa China, Picha hizo zilionesha Ofisi iliyojaa mafaili ambayo...
53 Reactions
318 Replies
31K Views
Mnakuja msumbua mama bure. Mchakato wa Katiba ilikuaje ukasitishwa? Ni nani alifanya uharibifu ule wa pesa? Je Rais aliyepo Madarakani alihusikaje katika mchakato wa Katiba? Mnataka mchakato...
8 Reactions
125 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…