Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kitu wapinzani wanachofeli ni kuongozwa na hasira na ushindani na kupigania maslahi binafsi ya kisiasa hivyo kukosa logic na plan nzuri kufanikisha mipango yao. Jakaya Kikwete alianzisha mchakato...
13 Reactions
62 Replies
5K Views
Kandarasi nyingi hasa za barabara zinafanywa chini ya viwango na wakati mwingine hawana hata vifaaa kwa ajili ya kazi. Hii imepelekea adha na Usumbufu kwa watumiaji wa barabara hizi zinazofanyiwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni kweli katiba mpya na bora inahitajika kulingana na mabadiliko ya kisiasa, kiuchumi, kijamii na kitekinolojia nchini na duniani kote. Inawezekana kabisa tangu 1977 nchi imepita kwenye...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimeshtushwa Sana na Tangazo la kuwa kuna ujenzi wa sanamu ya Magufuli Uwanja Wa Maonesho ya Sabasaba kwa Gharama ya Tsh. milioni 420. Sikatai ila nina hoja: Kwanini Magufuli? Mwinyi je? Mkapa...
12 Reactions
108 Replies
12K Views
Wabunge 19 waliofukuzwa na chama chao CHADEMA kwa mujibu wa Katiba walistahili kuondolewa Bungeni kutokana na kupoteza sifa kwani ili uwe Mbunge ni pamoja na kuwa mwanachama wa chama cha siasa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari wadau. Hali naona imeanza kuwa mbaya kwa upande wetu Tanzania ,nasikia huko Bugando washaanza kukumbwa na upungufu wa mitungi ya oxygen. Kipindi hiki lockdown haikwepweki bila shaka...
8 Reactions
159 Replies
18K Views
Nimekuwa nikisikia hizi maneno ama uzushi wa maneno kua Hayati Magufuli ni mkabila, ana upendeleo wa Wasukuma, mara hili mara lile. Uzushi huu umekuwa ukipigiwa chapuo na watu wa kanda moja...
19 Reactions
141 Replies
12K Views
Moja ya kauli za mwanzo kabisa za Rais Samia ambazo zilileta msisimko nchini ni kusudio lake la kukutana na viongozi wa vyama vya upinzani. Msisimko ulitokana na ukweli kwamba Rais Magufuli...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanaotaka katiba mpya na wasioitaka wote ni watanzania. Katiba mpya siyo chokochoko wala chanzo Cha uhasama, isiwe chanzo cha machafuko au kupeana majina mabaya kama ya usaliti, adui wa maendeleo...
1 Reactions
1 Replies
731 Views
Leo waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa anazindua kituo cha Tanzanite Mirerani mkoa wa Manyara, kuwa nami... ======= Waziri Mkuu: Nimekuja na salam zenu kutoka kwa mheshimiwa Rais, mama...
5 Reactions
50 Replies
5K Views
Pamoja na yote yanayoendelea kuhusu Mdude, ambayo nisingependa kuyarudia hapa, kinachopaswa kufahamika ni kwamba Mdude Nyagali alitolewa gerezani baada ya kuishinda serikali ya Tanzania...
39 Reactions
109 Replies
7K Views
Watu wengi wanaotuongoza kwa ridhaa yetu au bila ridhaa yetu, wanabaki kuwa Viongozi katika kipindi hicho. Wengi wana hulka za kibinadamu za kujipendelea wenyewe kunufaisha mfumo wao na familia...
4 Reactions
12 Replies
900 Views
Mabilionea wengine walishaachana na siasa za rejareja wakiwemo Rostam Aziz, Mo Dewji, Yusuf Manji na Mkono na sasa amebakia " MWAMBA" Freeman Mbowe wa Chadema. Je, Mwamba atatuvusha kwenye katiba...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Katika siku 100 kwanza za Rais SSH alipata uungwaji mkono mkubwa kutoka makundi mengi kwa muda mfupi. Ilikuwa kama nchi ndo imetoka kupata uhuru kutoka kwa mkoloni. Kumkosoa katika jambo lolote...
17 Reactions
58 Replies
6K Views
Endapo CHADEMA inataka kufikia malengo yake ya kisiasa basi wanapaswa kubadilika au kubadili aina ya style waliyo izoea kuitumia. 1. Waachane kabisa na lugha za matusi na kejeli ambazo tangu...
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Pamoja na kuwa Mama Samia anaweza kuwa anayo nia njema na ya dhati kuhusiana na haki, uhuru na usawa wa watu, kizingiti kitaendelea kuwa wale wahafidhina wanaomzunguka. CCM hao watakuwa ndiyo...
9 Reactions
44 Replies
3K Views
MKUU WA WILAYA YA MOSHI KIPPI WARIOBA AFUNGULIWA KESI MAHAKAMA KUU. -NI BAADA YA KUDAIWA KUZUIA WANANCHI WA JIMBO LA VUNJO KUFANYA SHUGHULI ZA MAENDELEO. -TAASISI YA MAENDELEO YA VUNJO CHINI YA...
7 Reactions
58 Replies
11K Views
IGP Sirro amesema atawashtaki kwa wakurugenzi wa halmashauri wenyeviti wazembe wa serikali za mitaa ili ikiwezekana waondolewe na nafasi zao kujazwa na watu wengine. Sirro amesema wenyeviti wa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Huo ndio ukweli, kwa sasa wanasiasa ndio wanataka katiba mpya kwa lengo lao moja tu tamaa ya kushika DOLA lakini sisi wananchi kwa sasa tunataka maendeleo kwanza, tunataka maisha yetu duni ya...
6 Reactions
67 Replies
4K Views
Yawezekana waliopewa nafasi nakutuongoza kwa haki nakupewa nafasi yakuweka misingi ya haki na utawala wa sheria nchini wanaamini Wana muda mrefu wakula salary,posho na kutembelea mashangingi...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…