Mawakala CHADEMA walipe kodi la sivyo wakumbane na Mkono wa Dola

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,207
2,000
Ndugu zangu,

Katika kukabiliana na hali ngumu ya maisha kwa chama na wafuasi wake, CHADEMA wameanzisha utaratibu wa kuuza kadi zao mitaani huku wakiahidi kuwa kila kadi moja itakayouzwa wakala atapewa shilingi 500.

Huu ni ujasiriasiasa,mawakala hawa walipe kodi au CHADEMA wakusanye kwa niaba ya TRA (withholding tax) na kuzipeleka. Hapa nashauri TRA wawahoji viongozi wa CHADEMA na kama hawatatoa taarifa stahiki waburuzwe korokoroni.

Tuijenge nchi yetu.
 
Uwazitu

JF-Expert Member
Aug 19, 2019
1,415
2,000
Weye huwa kichwampala kweli.Unashauri waburuzwe korokoroni au wapelekwe mahakamani haki itafutwe?Bado una akili za kushikiwa sana na kupenda ugomvi.Utakuwa unaandika huku umenuna na kumuwaza Mbowe!🤣🤣🤣🤣🤣
Zile 20,000/= wanazochangishwa kila Mmachinga zinatozwa Withholiding Tax?

Anza na pesa wanayotozwa Machinga kutaka itozwe kodi = TRA MPO?
 
Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,207
2,000
Ukilipwa kamisheni,lipa kodi la sivyo utakabiliwa na mkono wa sheria
Weye huwa kichwampala kweli.Unashauri waburuzwe korokoroni au wapelekwe mahakamani haki itafutwe?Bado una akili za kushikiwa sana na kupenda ugomvi.Utakuwa unaandika huku umenuna na kumuwaza Mbowe!
 
Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,207
2,000
Kamanda hutaki kulipa kodi halafu Mnyika anataka "kodi ya kudai katiba mpya" tutafika?
Zile 20,000/= wanazochangishwa kila Mmachinga zinatozwa Withholiding Tax?

Anza na pesa wanayotozwa Machinga kutaka itozwe kodi = TRA MPO?
 
Detective J

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
13,739
2,000
Ndugu zangu,

Katika kukabiliana na hali ngumu ya maisha kwa chama na wafuasi wake, Chadema wameanzisha utaratibu wa kuuza kadi zao mitaani huku wakiahidi kuwa kila kadi moja itakayouzwa wakala atapewa shilingi 500.

Huu ni ujasiriasiasa,mawakala hawa walipe kodi au Chadema wakusanye kwa niaba ya TRA (withholding tax) na kuzipeleka. Hapa nashauri TRA wawahoji viongozi wa Chadema na kama hawatatoa taarifa stahiki waburuzwe korokoroni.

Tuijenge nchi yetu.
Enzi za kuburuzana na kupelekeshana zimeisha.
kila kitu kinaenda kwa sheria sio matamko au amri
 
sweettablet

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
7,340
2,000
Hajui kuwa enzi za mabavu na ubabe usiokuwa na tija,umepitwa na wakati.
Kulipa kodi sio ubabe. Ni wajibu.Unafikiri hizo barabara mnazotaka kutumia kufanya maandamano pesa za kutengenezea anatuma Robert Amsterdam!?
 
Ulimwengu Mbaya

JF-Expert Member
Jun 23, 2013
1,076
2,000
Ndugu zangu,

Katika kukabiliana na hali ngumu ya maisha kwa chama na wafuasi wake, Chadema wameanzisha utaratibu wa kuuza kadi zao mitaani huku wakiahidi kuwa kila kadi moja itakayouzwa wakala atapewa shilingi 500.

Huu ni ujasiriasiasa,mawakala hawa walipe kodi au Chadema wakusanye kwa niaba ya TRA (withholding tax) na kuzipeleka. Hapa nashauri TRA wawahoji viongozi wa Chadema na kama hawatatoa taarifa stahiki waburuzwe korokoroni.

Tuijenge nchi yetu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Bado mpo wazee wa kujipendekeza na kutafuta vyeo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom