TAMBUA KWAMBA:-
π°π°π°π°π°π°π°π°π°
AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI
(1) Binadamu wote ndugu zangu na Afrika ni Moja.
(2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote.
(3) Nitajitolea nafsi yangu...
NJIA BORA YA UPINZANI KUINGIA MADARAKANI MWAKA 2025
Kwanza namshukuru mwenyewezi Mungu kwa kutujalia afya nzuri na Amani katika Nchi yetu pendwa ya Tanzania
Tangua kuanzishwa kwa uchaguzi wa...
Ongezeko la tozo za Serikali kwenye miamala ya fedha zimekuwa gumzo kila kona na kuanza kuondoa matumaini kwa Watanzania wa kipato cha chini ambao wamekuwa wakiitumia mitandao ya simu kama vibubu...
Leo Rais Samia Suluhu Hassan anaanza ziara ya siku mbili nchini Burundi. Huyu ni kiongozi wa tatu wa juu kutembelea nchi hiyo ndani ya awamu hii ya sita.
Alianza Makamu wa Rais Dr. Philip Isidor...
Heshima kwenu wakuu
Kwanza nikiri sisi Kama taifa tunawajibu wa kulipa Kodi kwa ajili ya kujenga taifa letu.
Pili, Hakuna mtanzania Mzalendo ambae hapendi kulipa Kodi au Kodi kwa ajili ya ujenzi...
Habari za usiku wanabodi,
Leo nimetafakari sana kuhusu Shujaa wa kizamani na jinsi legacy yake inavyozungumziwa kwa muktadha wa Uzalendo kwa taifa. Lekini kauli au neno la "Shujaa/Hero" maana...
Ukitaka kujua CDM ni kichaka cha wachumia tumbo na genge la utetezi wa mafisadi na mabwanyenye basi huu ndio wakati muafaka.
Nakumbuka wakati Hayati JPM anawapeleka mpera mpera matajiri...
Hayati John Pombe Joseph Magufuli, ni mzaliwa wa chato mkoani Geita, pia alikuwa mbunge, naibu waziri na waziri katika nyakati tofauti, tofauti enzi la utawala wa Benjamin Mkapa na Rais mstaafu...
Kwanza Salamu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe Rais ukiona asilimia kubwa ya wananchi wanapiga kelele kwa jambo la msingi uelewe kuwa kuna jambo linalohitaji kufuatiliwa.
Suala...
Mkurugenzi wa Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma Fatna Laay amekataa kutumia fedha zote shilingi milioni 210 alizopewa kwa ajili ya kujinunulia gari lake la kazi na badala yake amenunua gari la Milioni...
Kuna Msemo usemao Roma Haikujengwa kwa Siku moja. Msemo huu inaonekana wengi huwa hawauelewi.
Msemo huu pamoja na tafsiri nyingi unaimanisha kuwa Uzuri wa Roma katika kila nyanja ulichukua muda...
Mimi kama mwalimu napinga kwa nguvu zote juu ya suala la chama cha walimu Tanzania, CWT kukusanya maoni ya walimu yanayotakiwa kutolewa kwa ajili ya uundaji wa bodi ya walimu. Zipo bodi mbalimbali...
Wapinzani wamepandishiwa gharama za mafuta ukiende sheli na kadi ya uanacha wa ccm mafuta utauziwa kwa sh 1700 Kama Zambia.
Tozo ya miamala ya CCM haiwahusu wanaccm hiyo ni maalumu kwa wapinzani...
Yaani sijui wachumi wa rais Samia ni watu wa namna gani, wako out of touch kabisa na maisha ya mtanzania halisi.
Lakini tatizo kubwa ni kuteua watu wanaojipendekezapendekeza kwa watawala kwa...
Chama Cha Mapinduzi kimemuagiza mkuu wa mkoa wa Rukwa Mhe Joseph Mkirikiti kuunda kikosi kazi cha kukagua na kufanya tathmini ya miradi inayotekelezwa mkoani humo ili kujua ikiwa utekelezaji wake...
Arusha. Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya na wenzake wawili leo wamefutiwa mashtaka katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha kisha kufunguliwa tena...
Ni masikitiko yangu makubwa kuona Viongozi wa wizara ya afya kutwa wakishinda kwenye media /mtandaoni.
Tabia hii inaabisha hadhi ya wizara na fani ya udaktari.ACHENI. Nendeni kwenye media mkiwa...
DK. ANTONY DIALO NI MNAFIKI SANA, MPUUZENI
Na Bollen Ngetti
NINAANDIKA makala haya nikiendelea na matibabu ya Covid-19 kwa siku ya 9 lakini nina amini nitapona. Upekee wa virusi hivi ni kwamba...
Wapo watu wanaona wao ndio walizaliwa kuzungumza,kutafakari sahihi na kuamua kwa ajili ya wengine. Wapo watu wameaminishwa kwamba wanaishi hapa Duniani kupumbuza wengine ili wao na familia zao...
Habari Tanzania!
Naomba kuuliza wapenda nchi eti kwa muda wote huo wa umri wa nchi miaka 60 ndio tutake KATIBA MPYA?
Kwanini kwa miaka yote 60 eti ninyi mnawaza maendeleo tu yasiyo kikomo au...