Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Natoa pendekezo... Kwa jinsi makamanda wanavyomhusudu huyu bwana. Napendekeza 2025 ndo awe mgombea wa urais kupitia CHADEMA. Naamini akigombea kwa platform ya kumshitaki Rais Magufuli huko The...
31 Reactions
80 Replies
7K Views
Leo akiwa huko Muheza ‘kwenye kampeni zake za urais’, Tundu Lissu kazungumzia tena suala la Corona. Japo kalizungumzia kidogo tu, lakini kaligusia kwa kumkosoa tena Rais Magufuli na jinsi...
21 Reactions
116 Replies
9K Views
Mchawi si mpaka avae tunguli au hirizi. Utamwona tu ana ku wish nini. Serikali ya Tanzania ina mpango dhabiti wa kuangamiza Wananchi wake kupitia kodi na tozo za kinyama, kinyonyaji na...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Ok, so, me being me. The independent minded guy that I am. Native citizen of Realville. That straight shooter that I am. I am no shrinking violet when it comes to expressing my views. So I’m...
31 Reactions
216 Replies
13K Views
Nimesikiliza kwa umakini sana juu ya mambo aliyoyasema mchungaji Gwajima. Nina maswali machache sana juu ya nadharia yake juu ya korona na namna alivyosema na kuaminisha watu: 1. Yeye ni...
0 Reactions
0 Replies
733 Views
Pita sehemu mbalimbali hapa Tanzania ambako kuna ulazima wa kuvaa barakoa. Kisha angalia idadi ya watu waliovaa barakoa kwa hiari yao. Ni wachache sana. Ukiangalia makanisani, misikitini, viwanja...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekuja na hii mada kwa makusudi mawili, moja kuwapa angalizo watanzania wenzangu na pili kujiandaa kwa mengi na makubwa yatakayofuata hapa Tanzania. Kwa sasa sio siri tena, matazamio ya...
45 Reactions
128 Replies
12K Views
Tuseme tu kuwa watanzania na majirani zetu na dunia kwa ujumla kuwa tumepigwa na sindano ya ganzi . Kusomewa aina ya mashitaka kwa mh Mbowe ni sawa na sindano ya ganzi kwa wapenda Amani na...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Kitu pekee Mwl Nyerere alikosea na nadhani anajutia hata huko aliko ni kuipa nguvu sana CCM Chama kimekuwa na nguvu sana kuiongoza serikali, na ni Chama hiki hiki chenye wanachama wengi...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Kumekuwa na nguvu kubwa sana kutoka ndani na nje ya nchi kuhusu kukumatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kwa tuhuma za ugaidi nchini Tanzania. Vyombo vya habari vya nje mfano BBC...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Gwiji la siasa za Tanzania, Tajiri, Bilionea na Mfanyabiashara mkubwa wa Kimataifa, Laingwanan, Mtemi Isike ama Aboubakar Mbowe kama anavyojulikana huko Zanzibar, yuko jela kwa mara nyingine tena...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Vipi, mbona zimeingizwa kinyemela sana? Wamesubiri wakati ambapo sakata la sabaya limekolea na wao wakachomekeamo na chanjo humo humo! Kama chanjo ni kitu chema, mbona wanakificha ndani ya...
5 Reactions
164 Replies
13K Views
Japo ukweli unabaki wewe mwenyewe ndio unawajibika kwa afya yako, hivyo wewe ndio muamuzi wa jambo lolote kuhusiana na afya yako na wala mtu mwingine asikuchagulie linalohusiana na afya yako...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana bodi, Mengi yamejadiliwa kuhusu kukamatwa kwa kiongozi wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mashtaka ya ugaidi yanayo mkabili. Je, uanaharakati tunaoushuhudia haswa kutoka kwa wapinzani unaweza...
0 Reactions
4 Replies
912 Views
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo, Simon Kanguye amepotea tangu Julai 24, Kamanda wa Polisi Kigoma, Ferdinand Mtui asema. ----- Familia yamlilia Familia ya mwenyekiti wa...
2 Reactions
68 Replies
18K Views
Arusha. Shahidi wa tano wa Jamuhuri katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, Seleman Kassim Msuya (36) ameileza mahakama kuwa...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia na Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe wamelaani kukamatwa kwa Freeman Mbowe na wenzake na kulitaka Jeshi la Polisi kuwaachia bila masharti yoyote.
7 Reactions
61 Replies
5K Views
Dar es Salaam. Wabunge wa CHADEMA, wakiongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe, wameshawasili katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo asubuhi saa 2. Wabunge hao wanafika...
2 Reactions
36 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…