Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Act wazalendo wamedai kuwa Waziri mkuu ameshindwa kusimamia majukumu hasa usalama wa raia. Hii ni baada Bibi mzeee kulia mbele ya waziri mkuu kuwa mtoto wake ametekwa na polisi tangu Aprili 21...
1 Reactions
0 Replies
127 Views
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti Mashimba Ndaki amesema; "...Pamoja na kwamba deni la serikali limekuwa himilivu kwa viwango vyote vya kimataifa, kielelezo cha uwiano wa deni kwa...
0 Reactions
2 Replies
257 Views
Kwa nini hawakupelekwa vijana wadogo kushangilia wale watoto ? Wameshindwa kuchukua hata vikundi vya ndondo cup vikatoe shangwe mnaenda chukua wazee waliojichokea ? CCM kila kitu ni deal
2 Reactions
6 Replies
154 Views
Serikali kupitia Wizara ya Fedha imeliomba Bunge kuidhinisha jumla ya shilingi trilioni 21.3 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara hiyo pamoja na taasisi zake kwa Mwaka wa Fedha 2026/27...
2 Reactions
6 Replies
171 Views
Kuna kila dalili za aliyekuwa Mbuge wa Iringa, Mwenyekiti Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa Kamati kuu na Mkutano Mkuu Mchungaji Peter Msigwa kurudi CHADEMA 23/03/2025. Kashajitenga na CCM. Je...
9 Reactions
90 Replies
6K Views
Uongozi ni kama koti la kuazima; Mbowe na Lipumba sasa si viongozi tena! Pia soma Mirambo arithi mikoba ya Profesa Lipumba CUF Tundu Lissu ashinda nafasi ya Mwenyekiti CHADEMA Taifa kwa Kura...
3 Reactions
7 Replies
383 Views
Je,, Samia Suluhu anaenda Urusi kumuomba Putin ampe Backup dhidi ya Donald Trump? Anamjua hayati Ayatollah Ali Khamenei yaliyomkuta? Alijuwa rafiki wa Putin kufa kuzikana.. Hakuamini atakufa...
13 Reactions
19 Replies
414 Views
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Jumatatu Juni 1, 2026 ameshiriki ibada ya mazishi ya Diwani wa Kata ya Shelui, Mhe. Agnes Nasania, iliyofanyika katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri...
1 Reactions
3 Replies
200 Views
"Uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba 2025 ufutwe na kutangazwa uchaguzi mpya ili kuwapa nafasi wananchi ya kuchagua viongozi wanaowataka katika ngazi ya Rais, wa bunge na madiwani ili kurejesha umoja na...
10 Reactions
22 Replies
723 Views
Akichangia hoja kwenye hotuba ya Bajeti ya Wizara Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Bungeni Dodoma Juni 1, 2026, Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Kaskazini Pemba, Asya Sharif...
0 Reactions
6 Replies
146 Views
Kwa tabia na mwenendo wake wa sasa akiwa Waziri Mkuu, amini nawaambia, haitafika 2030 akiwa Mtendaji mkuu wa Serikali Kukalipia, kuonya na hata anavyo hangaika kujifanya/kumwiga Magufuli kwa...
6 Reactions
15 Replies
444 Views
Naona kuna dalili kubwa kuwa taifa letu lina hali mbaya sana maana Usa na mataifa ya magharibi wamelitupa. Kukimbila kuwa karibu na Urusi kunaweza kuwa msaada kwa taifa hili ambalo mpaka sasa...
2 Reactions
4 Replies
186 Views
"CCM inabidi wajitafakari. Kwa mtazamo wangu sioni kama wana future nzuri kisiasa. Kwa sababu CCM wameacha kufanya siasa, wameacha dola iwafanyie siasa. CCM haiwezi kushinda uchaguzi tena kwa...
0 Reactions
1 Replies
219 Views
Nadhani mabadiliko ya kweli yanaanza kwa kuwa na independent institutions. Hii inamaanisha kuwa na free judiciary ambayo inaweza kutoa haki bila kuingiliwa na wanasiasa, strong anti-corruption...
2 Reactions
3 Replies
98 Views
"Nimekuwa waziri kivuli wizara ya mambo ya nje, maliasili, kilimo. Kwa hiyo I know namna gani serikali inafanya kazi. Sasa, lakini kama haitoshi, wakati ule nafanya kazi tuko CHADEMA anaingia...
2 Reactions
5 Replies
195 Views
Wabunge wapya wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki waliopigiwa kura hivi karibuni na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao ni Ndugu Kambarage Wasira, Fatma Kange na Cosato Chumi...
0 Reactions
0 Replies
123 Views
Mgombea Ubunge wa Jimbo Ismani Emmanuela Mtatifikolo ametangazwa Mshindi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi baada ya kupata kura 70,905 sawa na asilimia 93.5 katika Uchaguzi uliofanyika Juni 1/2026...
0 Reactions
3 Replies
244 Views
  • Redirect
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) nchini Urusi. Tuzo hiyo ni ishara ya kutambua uongozi...
0 Reactions
– Replies
– Views
https://www.youtube.com/watch?v=JWa-85kg0nc
1 Reactions
1 Replies
98 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…