Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,389
- 9,253
Act wazalendo wamedai kuwa Waziri mkuu ameshindwa kusimamia majukumu hasa usalama wa raia.
Hii ni baada Bibi mzeee kulia mbele ya waziri mkuu kuwa mtoto wake ametekwa na polisi tangu Aprili 21 lakini hakupata msaada
Au sababu wanaotekwa wanaigiza?
Hii ni baada Bibi mzeee kulia mbele ya waziri mkuu kuwa mtoto wake ametekwa na polisi tangu Aprili 21 lakini hakupata msaada
Au sababu wanaotekwa wanaigiza?