CCM yaibuka mshindi uchaguzi Isimani

CCM yaibuka mshindi uchaguzi Isimani

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
519
Reaction score
495
Mgombea Ubunge wa Jimbo Ismani Emmanuela Mtatifikolo ametangazwa Mshindi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi baada ya kupata kura 70,905 sawa na asilimia 93.5 katika Uchaguzi uliofanyika Juni 1/2026.

Uchaguzi huo umefanyika katika Jimbo la Ismani ambalo Lina Tarafa tatu ikiwemo Ismani, Idodi na Pawaga ambapo pia Jimbo hilo Lina jumla ya Kata 13 na vijiji 60 vilivyoshiriki katika zoezi la Uchaguzi.

Aidha jumla ya Wananchi 76,556 sawa na asilimia 85 walijitokeza kupiga kura.
IMG-20260602-WA0037.jpg
 
Back
Top Bottom