Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna mambo mengine ya kipumbavu sana. Nimekua nasoma habari za mmoja wa wanaharakati wa Tanzania kunusurika kutekwa huko nchini Nairobi, na mmoja wa watekaji amekimbia na wengine wamekamatwa...
8 Reactions
28 Replies
525 Views
Katika historia ya siasa za Tanzania, si kila anguko la mwanasiasa husababishwa na kushindwa uchaguzi. Mara nyingi, migogoro ya ndani ya chama, tofauti za kiitikadi au ukosoaji wa mamlaka huwa...
3 Reactions
8 Replies
463 Views
Socrates anayeaminika kama Baba wa Filosifia, akiona kwamba Demokrasia sio njia nzuri ya kuingiza, Kwani ina wapa watu wasio jua nafasi ya kufanya Maamuzi. Njia Bora ni wajuzi ndio waongoze na sio...
6 Reactions
54 Replies
804 Views
RaisSamia Suluhu anazindua Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa, Kikombo, mkoani Dodoma, leo tarehe 24 Februari, 2026 https://www.youtube.com/watch?v=ZxlZ47uPcJE =================== Amiri Jeshi Mkuu...
6 Reactions
55 Replies
1K Views
Hivi kama nchi tumeruhusu Waziri mkuu wa Nchi anakaa kusikiliza kero wananchi wanapiga foleni jua linawapiga, mvua inawanyeshea, lakini wanasota kupata fursa ya kutoa kero zao zisikilizwe na...
6 Reactions
21 Replies
449 Views
Ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa katika viunga vya Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam wakati Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akifikishwa mahakamani...
11 Reactions
76 Replies
3K Views
My Take Kila hatua ya mafanikio ya Serikali ya Samia ni maumivu makali sana Kwa vibaraka wa Chadomo na bwana zao. Kama kawaida watakuja kutukana 🤣🤣🤣👇👇 ==== Tanzania imeandika historia mpya...
1 Reactions
5 Replies
368 Views
Waheshimiwa Majaji, Wanataka tuzungumze mambo ya October 29 mtakuwa mmefungulia balaa jingine na isije ikawa shida. Mkifungua huo mlango tutaenda huko. Tutazungumzia mauaji ya kimbali na...
39 Reactions
121 Replies
3K Views
matumizi mabaya ya mamlaka hasa zinapohusishwa tuhuma za kijinai na kinyume chake Jeshi la Polisi litekeleze wajibu wake wa kikatiba. Pia katika mchakato wa uuzaji au ununuzi wa ardhi vyombo...
4 Reactions
3 Replies
327 Views
Naheshimu na Uwezo na Carrier ya Professor Anna Tibaijuka ni Msomi mzuri aliyekulia ndani ya Chama Cha Mapinduzi CCM upande wake mwingine anafahamika kuhusika na kashfa ya Escrow Account Bibi...
5 Reactions
21 Replies
487 Views
"Samia: Wakinikera mimi nabwatuka tu, acheni midomo ya uongo" . Zamani tuliuwa tulikuwa ttunasikiliza hotuba za marais. Ila huyu Mzanzibari Samia kapoteza Legitimacy. Mwenyewe anakuambia ans...
2 Reactions
4 Replies
216 Views
RIPOTI YA ICC, kipengele cha 79. Mnamo Oktoba 29, kikosi cha kupambana na magendo cha Zanzibar (KMKM) kilitumwa Dar es Salaam kwenda kukandamiza maandamano kwa nguvu. Kikiwa kimepewa maagizo ya...
21 Reactions
64 Replies
3K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kwamba gari ambalo wananchi walikuwa wakimchangia Lissu ili anunue tayari Lilishanunuliwa ni Jipya na akitoka tu gerezani anakabidhiwa. Akizungumza...
3 Reactions
9 Replies
403 Views
Wakuu, Nasikitishwa sana na hiki nilichokiona hapa kwenye hii barabara ndogo ya Segesela Street hapa Sinza, ni kamtaa fulani kanaanzia hapa Mlimani City kuelekea Kitambaa Cheupe. Hii barabara ni...
1 Reactions
1 Replies
243 Views
Ukweli ndio huo labda mummalize maana nyinyi hamna aibu wala utu au mumfunge kwa hila kama alivyofungwa Mandela
10 Reactions
18 Replies
366 Views
Professor Costa Ricky Mahalu is a Vice-Chancellor and Professor of Law at Tanzania's St. Augustine University. He is also an advocate at the High Court of Tanzania, Chairman of the Ardhi...
3 Reactions
8 Replies
695 Views
Hii taarifa rasmi imetolewa na Askofu Emaus Mwamakula. Nimewawekea hapa chini tamko lake soon hapa (kwa njia ya video). Ameelezea kwa kina kilichomsibu na hata kutishiwa maisha. Askofu Gwajima...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, Naibu Kamishna wa Polisi ,(DCP) David Misime ameeleza kuwa jukumu la kulinda amani ni la kila Mtanzania, kwani vitendo vya uhalifu na uvunjifu wa amani...
0 Reactions
3 Replies
329 Views
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime, amethibitisha kuwa hali ya usalama nchini ni shwari na salama, akiwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi katika vituo vyao vya kupigia kura ili...
1 Reactions
16 Replies
699 Views
Back
Top Bottom