Kwanini Tundu Lissu alisema CHADEMA haitamwekea dhamana Mbowe? Je, alishajua atashtakiwa kwa Ugaidi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,819
141,727
Kwanini makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu alisema chama chake hakitamwekea dhamana Freeman Mbowe?

Je, Tundu Lissu alijua mapema mashtaka yatakayomkabili Freeman Mbowe na kwamba hayana dhamana?

Na kama alijua, alijuaje?

Mungu mpe wepesi Freeman Mbowe kama Paulo na Silla.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Sababu hizi hapa:


Poleni sana wadau.

Cc: nzaghamba allypipi Gamba la Mbu
 
Back
Top Bottom