Ilikuwa ni vigumu kwa 'unafiki' wa Kagame kuendelea kuwa rafiki wa Magufuli

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
667
2,242
Rasmi sasa urafiki wa kinafiki baina ya JPM na Kagame u mbioni kukoma hii ni kwa sababu ya mmoja wapo ni mnafiki-PK.

Kuna sintofahamu kubwa pale mpakani mwa Tanzania na Rwanda pale Rusumo ni baada ya Serikali ya kuamua madereva wote wa gari za Rwanda kupimwa Covid 19 na ili waruhusiwe kuendelea na safari ni lazima wangojee majibu ya vipimo kwa muda wa siku 7 pale mpakani ndiposa kwa wale majibu yao yakiwa sawa wataruhusiwa kuendelea na safari na wale majibu yao yakiwa chanya watazuiliwa kuingia Tanzania.

Hali hiyo inaonekana ni wazi Serikali ya Tanzania imeamua kulipa kisasi kwa namna madereva wa Tanzania wanavyo fanyiwa hasa wawapo upande wa Rwanda.

Ikumbukwe dereva yeyote wa Tanzania aikiingia upande wa Rwanda anapaswa;

Kwanza muda wote awe anasindikizwa na askari polisi wenye silaha!

Pili muda wote haruhusiwi kuchangamana kwa namna yeyote ile na wananchi wa Rwanda hii ni pamoja na kutoruhusiwa kula chakula mgahawani,kununua mahitaji yeyote ya msingi hawaruhusiwi!

Tatu na kwa masharti magumu hasa ni gari chache tu za Tanzania zinaruhusiwa kufaulisha mzigo na gari za kampuni mama zilizopo Tanzania tena kwa lazima dereva awe na work permit pia lazima awe na cheti cha majibu ya maabara yao ya Taifa.

LAKINI LILILO BAYA ZAIDI NI UNYANYAPA WANAOFANYIWA WATZ KWAKWELI NI ZAIDI YA USHETANI!WANATEMWA HADI MATE!

Katika maamuzi hayo ya Serikali yetu ya Tanzania niwe wa kwanza kuipongeza kwalo.Kwa hakika Nchi ya Rwanda nje ya ujirani ni watu wabinafsi na wanafiki sana na hao dawa yao ni man to man!

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Sina tatizo na kuina na kusikia nisiyokubaliana nayo.

Mwaka huu nimetoka kusoma kitabu cha Ben Shapiro, mhafidhina ambaye sikubaliani naye.

Natafuta mawazo yenye mantiki ya watu nisiokubakiana nao.

Hilo halimaanishi nikubali kuharishiwa uharo wowote ule usio na breki, mantiki wala maudhui kwa kuogopa kuambiwa sitaki kuona na kusikia mawazo yaliyo tofauti na yangu.

I have standards.
nafikiri ujumbe umefika , standard zako zinatia mashaka na kinyaa, wengi wanaandika uharo lakini kwa vile wanakubaliana na wewe unawaacha, ila wale wanaokupinga ndio Ignore list inawahusu , hiyo ni double standards
 
Watu mna maumivu Magu amewakomesha
Na bado mlizoea vya kunyonga
Magufuli kaipa familia yangu nyumba ya dola za Kimarekani milioni tatu hapo Oysterbay Dar es salaam.

Mimi nipo Marekani tangu Kikwete hajawa rais.

Maumivu ya Magufuli naanza kuyasikilizia wapi hapo?

Mimi kama ningekuwa mtu wa kuangalia mambo ya binafsi, ningetakiwa kumuimbia sifa sana Magufuli kwa jinsi alivyoifaidisha familia yangu.

Lakini, naangalia principles.

Wewe binafsi na familia yako, ukiacha habari za kitaifa, Magufuli kawafaidisha vipi?
 
nafikiri ujumbe umefika , standard zako zinatia mashaka na kinyaa, wengi wanaandika uharo lakini kwa vile wanakubaliana na wewe unawaacha, ila wale wanaokupinga ndio Ignore list inawahusu , hiyo ni double standards
Huwezi kunichagulia nani nimsome na nani nimpeleke ignore list.

That is a fact.

Ignore list imewekwa kwa sababu maalum.

That is a fact.

Ni bora nikuweke ignore list nisione uharo wako kuliko tuanze kutukanana hapa.
 
Magufuli kaipa familia yangu nyumba ya dola za Kimarekani milioni tatu hapo Oysterbay Dar es salaam.

Mimi nipo Marekani tangu Kikwete hajawa rais.

Maumivu ya Magufuli naanza kuyasikilizia wapi hapo?

Mimi kama ningekuwa mtu wa kuangalia mambo ya binafsi, ningetakiwa kumuimbia sifa sana Magufuli kwa jinsi alivyoifaidisha familia yangu.

Lakini, naangalia principles.

Wewe binafsi na familia yako, ukiacha habari za kitaifa, Magufuli kawafaidisha vipi?
Kila siku hizo story za kupewa nyumba na kuishi marekani
Hata ungepewa nyumba zote za masaki na Oyesterbay bado huna furaha wewe
Inainyesha wazi una matatizo ya kisaikolojia
Uandish wako unaeleza
Kuishi USA sio ndio kuwa na furaha
Hahahaaa
 
Kiranga kwa baadhi ya maeneo ni shetani huyu jamaa huwa haamini kuwa kuna Mungu huwa anamuabudu shetani ni kiranga haswa haswa
Umeshindwa hoja, unaleta viroja.

Siamini Shetani yupo, kwa sababu siamini Mungu yupo.

Usitoke nje ya mada.

Magufuli ni mnafiki.

Anajifanya kupiga vita rushwa, wakati yeye mwenyewe kamuhonga hawara wake Kabula nyumba ya serikali.

That is a fact.
 
Hapa ambaye hana hija ni mtoa mada,anajua fika Magufuli na Kagame wote ni wanasiasa maana yake ni kuwa wote ni wanafiki,hamna mwanasiasa wa kiafrika asiye mnafiki labda kwa wenzetu huko majuu.

Cha ajabu kabisa anamlaumu moja wao huku anajua fika wote wanatabia zinazoendana.
Asante mkuu.

Mimi nililiona hilo mapema sana nikalianika wazi post ya pili ya uzi huu.

Shukurani kwa kuliona hilo.
 
55 Reactions
Reply
Back
Top Bottom