Kada Maarufu wa CCM amesema laiti Wapinzani wangekuepo bungeni, yaani hata Wapinzani 10 tu, CCM wasingepitisha tozo za ajabu hivi.
Ng'ombe haoni faida ya mkia wake hadi siku ukikatika.
"Leo...
Kwa mtazamo wangu, tunapotaka kuimarisha umoja miongoni mwa vyama vya upinzani nchini, moja ya jambo tunalopaswa kuliepuka au kutoendelea nalo ni kuita CHADEMA chama kikuu cha upinzani.
Nasema...
Ni Wazi kuwa wanachama na wafuasi wa CHADEMA wanazidi kuimarika siku baada ya siku kutokana na misukosuko wanayopitia.
Polisi Wamekuwa Wanawaimarisha CHADEMA kupitia kamata kamata za polisi...
Kuna mambo ya ajabu sana yanafanyika hadi unakosa majibu.
Eti askari ambaye amepata mafunzo kabisa anatumia gari la serikali kubomoa ofisi ya chama ambacho kina usajili halali, unakosa majibu...
Mkoa wa Mbeya wakati huo ukijulikana kama one of The Big Four kw kilimo cha achakula kwa nchi nzima, ulikuwa umetekelezwa katika msimu mzima wa Awamu ya Tano.
Kulikuwa hakuza siara za Mawaziri au...
Mimi hapa The Palm Tree nilikiri na kukubali hadharani kuwa, moja ya jambo lililosimamiwa kwa usahihi na mwendazake Rais John Pombe Magufuli ni hili la msimamo wake thabiti wa ishu ya COVID 19 na...
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Tume ya Jiji la Dar, Mbunge wa Ubungo na Waziri kipindi cha awamu ya tatu Charles Ndiliana Ruwa Keenja amefariki Dunia leo akipatiwa Matibabu Seifee Hospital jijini...
Mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani ( WHO) hapa nchini amesema siyo lazima kwa muuguzi anayemchoma mtu chanjo kuvaa gloves.
Msemaji huyo amesema WHO imelazimika kutoa ufafanuzi huo baada ya...
Mji wa Kisesa katika jiji la Mwanza ni Mji mkubwa unakua kwa kasi ambao kipindi cha Marehemu Magufuri aliahidi kuwa halmashauri ya Mji wa Mwanza ,wananchi wake wanalia kwa kutofungiwa umeme na...
Mbunge wa Kibakwe na Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Bw.George Simbachawene anatafutwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumpiga na kumsababishia majeraha ya mwili, kijana Kassim Abdallah...
Habari wana JF!
Hivi karibuni (hasa mwaka huu na mwaka jana) kumekua na wimbi la kesi ambazo zimekua zikifunguliwa kuwashitaki wapinzani hasa Lissu, kwa takwimu zinavyoonyesha kesi ambazo Lissu...
Katika miaka michache niliyojaliwa na Mungu kuishi hapa duniani, nimeshuhudia mambo mengi kuwahusu ndugu zangu walioko kwenye uga wa siasa.
Kimsingi nimejifunza kwamba wanasiasa kwa sehem kubwa...
Jamii Forums inakukaribisha kushiriki kwenye Mjadala kuhusu Maambukizi ya #COVID19 pamoja na Utoaji wa Chanjo nchini Tanzania
Mjadala huu unafanyika Agosti 6, 2021 kupitia Twitter Spaces...
Suala la taifa letu kuwa na katiba mpya tusiliangalie kwa upande mmoja tu wa shilingi.
Katiba tuliyonayo ina mapungufu makubwa sana ambayo hayamnufaishi mwananchi wa kawaida mwenye maisha duni...
Dodoma. Umoja wa Vijana wa CCM ( UVCCM) umekitaka chama chao kumchukulia hatua Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima kwa kitendo chake cha kuhamasisha watanzania wakatae chanjo ya Uviko-19.
Katibu...
Wakuu habarini?
Awamu ya tano kulitokea maneno ya vijembe na kejeli yaliyotupiwa kwa baadhi ya viongozi wa upande wa Vyama pinzani Kama vile katumwa na mabeberu, kibaraka wa mabeberu huku upande...
Kwanza napenda kuwapa salam ndugu, jamaa na marafiki wote mliopo humu. Ndugu zangu kabla ya kuanza na mada yangu ningependa kwanza nirejelee ule msemo aliowahi kuusema mzee wetu, baba yetu, babu...
Hakuna kitu kinaamua siasa kama 'wakati'..
Wanasiasa wazuri ni wale wanaojua nyakati zinavyobadilika na kwenda na wakati uliopo ...
Watanzania walikuwa wamechoshwa mno na siasa za Magufuli...na...