#COVID19 Spika Ndugai achomwa chanjo ya COVID-19

Fanxudy

Member
Aug 1, 2021
15
75
ndugai.jpg

Japo na nesi kuvaa Gloves Mbona Kama mh. Kanuna ivi au anaumwa
 

Kipenda roho

Member
Jul 24, 2021
68
150
Mbona bomba la sindano yenyewe limesha didimizwa ? Au wanamtoa sample ya damu kwanza ? Ok sawa basi tufanye ndio anachomoa sindano
 

Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,837
2,000
haya mabomba ya sindano yataleta utata
ipo Clip ya Rais Samia baadhi wanakataa eti bomba halijavutwa likajaa
sasa mililitre za chanjo ni ngapi mpaka mtu azimie?
hebu jamani tukachanje, hizi chanjo 1m za Jansen wameongeza nyingine 11milioni zinakuja
 

JembeKillo

JF-Expert Member
Nov 29, 2011
5,011
2,000
Naishi kijijini, siendi mjini, sisafiri nje ya nchi, sipandi public transport. Chanjo ya nini?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom