Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hakika CCM wamechanganyikiwa, hawajui watarudije kwenye mioyo ya Watanzania. CCM iko hoi bin taabani, imeishiwa pumzi kabisa, CHADEMA imeshika kooni. Dola imeamua kuingilia kati kuinusuru, nayo...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Akiwa ziarani wilayani Kyela Waziri mkuu mh Majaliwa ameihoji Mamlaka ya Bandari kwanini meli mpya ya mizigo imepaki tu bila kufanya kazi? Mhe. Majaliwa amesema inashangaza kuona meli mpya...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Tunapokuwa na Taifa ambalo viongozi na watu wenye uwezo wanapewa kipaombele kwenye kila kitu tunakuza gap la usawa baina ya wananchi. Tumeleta dozi milioni moja kwa ajili ya watawala na wanasiasa...
8 Reactions
16 Replies
1K Views
Baada ya kuchukua muda kufuatilia maoni na mitizamo ya wajumbe mbalimbali kiroho safi, nimejiridhisha pasi na shaka yoyote kuwa: "Pana wajumbe wenye kujawa na hasira kali isiyokuwa na maelekezo...
7 Reactions
25 Replies
3K Views
Ukiwasikiliza watanzania wengi wanaonekana wanahofu na chanjo ya Korona lakini hawana mpango wa kuchanja na unapomuuliza kuwa je endapo masharti ya nchi yakabadilika katika swala zima la kupata...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Tunaitaka Chadema kubadilika na kuanza kufanya siasa za hoja, zenye kutoa kipaumbele maendeleo ya wananchi na Taifa badala ya siasa hizi za kuhimiza ghasia, vurugu na kueneza uongo na chuki...
3 Reactions
59 Replies
6K Views
Mwamba Mbowe aliposema covid ipo serikali ilimwandama Hadi yeye na wenzake qakatolewa Bungeni na kukatwa posho kisa wameenda kinyume na mfalme aliyekuwepo. Naamini Wakati anapambana kuhusu...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Mwamba wa siasa za Tanzania usiotikisika , Laingwanan , Mtemi Isike ama Ustaadhi Aboubakar Mbowe kama anavyofahamika huko Zanzibar , kesho anafikishwa tena Mahakamani kwa ajili ya kusikiliza kesi...
8 Reactions
50 Replies
4K Views
Kwa mtu yeyote aliyeimba wimbo huo, kwa kudhamiria kukilinda Chama, tena mbele ya Mwenyekiti kwa kuahidi kuzidumisha fikra zake. Ajue atapata laana iwapo ataanzisha chama chake binafsi. CCM ni...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari, Afrika, Tanzania ikiwemo tunachagua viongozi kwa kuangalia itikadi ya chama cha mgombea. Kama chama kina wanachama wengi basi kura za mgombea wa chama hicho zitakuwa nyingi na kama chama...
1 Reactions
4 Replies
955 Views
Nimekuwa nikiripoti Mara nyingi jinsi nchi yetu inavyokwenda kwa sasa tumeanza kurudi nyuma , Huduma zimekuwa mbovu ukiende kwenye ofisi kupata huduma customer care mbaya wahudumu wanakujibu ovyo...
10 Reactions
68 Replies
7K Views
"Nimepigiwa simu na mtu aliyejitambulisha kuwa ni Afisa Uhamiaji Mkoa wa Arusha kwamba nifike ofisini kwao kujibu kuhusu uraia wangu namba zake 0684544603":- Charles Odero, Mwanaharakati...
21 Reactions
119 Replies
10K Views
Tukubali ukweli tu kuwa chama chetu hakina watu mahiri na makini kama enzi za akina Marando wa Nccr mageuzi. Kesho mwamba ataletwa Kisutu na kisha kusomewa Commital. Naona wanasheria wa mwamba...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Naomba ushangae Wanalazimisha leve seats katika vyombo vya usafiri ambapo kiti kimoja na kingine ni sentimita kadhaa tu. Lakini hawajazuia masoko, minada shuleni, Bar, disko, huko nako vipi...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Tangu kuanza kwa vuguvugu la kudai katiba mpya mapema mwaka huu likiongozwa na Chadema, Zitto Kabwe na chama chake cha ACT Wazalendo wamekuwa kimya pasipo kutia neno lolote. Hivi karibuni Zitto...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Jamani chondechonde msiingize swala la chanjo kwenye uvyama chanjo sio mali ya chama. Waelimisheni watanzania wote vile ambavyo wewe unaelewa kuhusu chanjo. Mtu akizungumza jambo tusikurupuke...
0 Reactions
3 Replies
954 Views
Sina maneno mengi sana ya kusema nimeona na kusikiliza clip moja hivi " Unasema kazi ya kwanza ni kushughulikia kupanda kwa madaraja ya watumishi wa umma Tanzania. Kama ulichokisema ni dhamila...
5 Reactions
20 Replies
3K Views
Kuhusu chanjo ni hiari yako kuchagua kati ya hatari ndogo (Low risk) na hatari kubwa (High risk). Kila chanjo ina lengo moja tu. Lengo la kuongeza kinga katika mwili wako. Na kila chanjo lazima...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Asalam-aleikoum Wana-JF, Nimeona nitoe hoja yangu kuhusu maamuzi ya wanasiasa ya kuanzisha tozo kubwa za miamala ya mitandao kwa kisingizio cha kujenga uchumi. Lakini matokeo yake tunayaona, watu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…