Jeshi la Polisi fungueni "comment section" tumsifie Mafwele

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,997
Reaction score
8,264
Wakuu,

Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa Jeshi la Polisi kwenye mitandao yao ya kijamii. Naomba kujikita katika post yao ya jana tarehe 2 Machi 2026 ikimhusu Faustine Mafwele kama kiongozi (Mkuu wa Upelelezi wa makosa ya Jinai Polisi Kanda maalum Dar es Salaam)🌚🌚

poli.jpg

Sote tunajua kuwa mtu huyu anahusishwa na matukio ya kinyama, ikiwemo utekaji na utesaji, kundi kubwa la wanaharakati na wanasiasa waliotekwa karibuni na kufanikiwa kupatikana walimtaja yeye kama muhusika mkuu. Kinachotia uchungu zaidi ni kuona kuwa, licha ya tuhuma hizi nzito ambazo zimekuwa zikipigwa kelele na wananchi, hakuna hatua zozote za wazi za kiuchunguzi zinazochukuliwa dhidi yake, wanapiga kimya kama!

Badala yake, jeshi linaonekana kumpamba kama kiongozi, jambo ambalo kwangu mimi naona kama jaribio la "kuhalalisha" (soft launch) uwepo wake mbele ya macho ya wananchi, kana kwamba tuhuma hizo hazina uzito wowote.

Hali hii inazua maswali ya kikatiba na kimaadili:
1. Kinga dhidi ya Uchunguzi: Inakuwaje mtuhumiwa wa vitendo vya kikatili aendelee kushikilia nafasi nyeti ya upelelezi bila kusimamishwa ili kupisha uchunguzi huru?
2. Kuzima Sauti za Wananchi: Kitendo cha Jeshi la Polisi kuposti taarifa za kiongozi huyu huku wakifunga sehemu ya maoni (comments) ni kielelezo cha kukataa uwajibikaji. Wanahofia nini kusikia maoni ya umma?
3. Uhalalishaji wa Unyanyasaji: Tunapoona taasisi yenye jukumu la kulinda raia ikimshabikia mtu anayelalamikiwa kwa kutesa raia (hata kama ni wao), je, tunajenga jamii ya namna gani? Hii ni ishara ya kutokuwepo kwa utawala wa sheria au ni kiburi cha madaraka?
4. Mafwele anasafishwa sasahivi ili kuendelea kusafisha watuhumiwa wanaohusika moja kwa moja na mauaji ya Oktoba 29?

Je, Jeshi la Polisi linafikiri wananchi wamesahau tuhuma hizi?

====

Guys Dr. Mwigulu Nchemba wewe umesema makofi hatuki makofi, waambie basi Jeshi la Polisi sisi tunataka kumpongeza Mafwele kwa kazi nzuri anayofanya watufungulie comments tumwage maua, au nakosea ndugu zangu?:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:
 
Tuliambiwa ametekwa, sasa naona km mlimzushia tu vile!
 
20260303_151842.jpg

HABARI PICHA:

Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Faustine Mafwele amewataka Polisi Kata kuendeleza ushirikiano na jamii zilizopo katika Kata zao kwani kupitia ushirikiano huo kutaliwezesha Jeshi la Polisi kupata taarifa za uhalifu mapema kabla haujatendeka na kuchukua hatua.

Kauli hiyo ameitoa Machi 02, 2026 katika bwalo la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam lililopo barabara ya Kilwa Temeke alipokuwa akizungumza na Polisi Kata 102 kutoka Mikoa ya Kipolisi Ilala, Kinondoni na Temeke kwa ajili ya kuboresha utendaji na kuleta matokeo chanya ya falsafa ya Polisii jamii.

"niwatake Polisi Kata wote kuzijua vizuri Kata zenu kwa kutambua mipaka ya kijiografia, shughuli za kiuchumi zinazofanywa katika eneo lako sambamba na kutambua makundi yote muhimu yaliyopo katika maeneo yenu kwani kupitia ushirikiano na makundi hayo kutawasaidia kupata taarifa mbalimbali ikiwemo taarifa za uhalifu ambazo zitatumiwa na Jeshi la Polisi kudhibiti matukio ya kihalifu katika maeneo hayo"amesema Mafwele

Aidha SACP Mafwele amewataka Polisi Kata hao kutumia vizuri nafasi walizopewa za kufanya kazi karibu na jamii kwani kutawasaidia kutengeneza fursa za kiuchumi kulingana na sehemu walipo sambamba na kuwataka kujenga uaminifu kwa jamii hizo kwa kufanya kazi kwa bidii na kuzingatia maadili ili wanachi hao waweze kutoa taarifa mbalimbali ikiwemo taarifa za ukatili

Kuonekana kwa SACP Mafwele kunaondoa dhana na taarifa zilizokuwa zinaenea katika mitandao ya kijamii na maswali ya kuwa yuko wapi kamanda huyo wa Jeshi la Polisi.
 
View attachment 3551786

Wale TFF kwani wanasemaje?
 
Huyu bwana yuko na afya njema, hii siyo habari njema kwa Agustino Polepeole, Sativa, Maria Sarungi, Twaha Mwaipaya, MangeKimambi, Rachel Dangwa na Eva Shayo.

Hao wote ni wanaharakati wa mtandaoni waliopo nje ya nchi.
 
twaha mwaipaya yupo tz
 
Wakuu,

Nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa Jeshi la Polisi kwenye mitandao yao ya kijamii. Naomba kujikita katika post yao ya jana tarehe 2 Machi 2026 ikimhusu Faustine Mafwele kama kiongozi (Mkuu wa Upelelezi wa makosa ya Jinai Polisi Kanda maalum Dar es Salaam)🌚🌚

Sote tunajua kuwa mtu huyu anahusishwa na matukio ya kinyama, ikiwemo utekaji na utesaji, kundi kubwa la wanaharakati na wanasiasa waliotekwa karibuni na kufanikiwa kupatikana walimtaja yeye kama muhusika mkuu. Kinachotia uchungu zaidi ni kuona kuwa, licha ya tuhuma hizi nzito ambazo zimekuwa zikipigwa kelele na wananchi, hakuna hatua zozote za wazi za kiuchunguzi zinazochukuliwa dhidi yake, wanapiga kimya kama!

Badala yake, jeshi linaonekana kumpamba kama kiongozi, jambo ambalo kwangu mimi naona kama jaribio la "kuhalalisha" (soft launch) uwepo wake mbele ya macho ya wananchi, kana kwamba tuhuma hizo hazina uzito wowote.

Hali hii inazua maswali ya kikatiba na kimaadili:
1. Kinga dhidi ya Uchunguzi: Inakuwaje mtuhumiwa wa vitendo vya kikatili aendelee kushikilia nafasi nyeti ya upelelezi bila kusimamishwa ili kupisha uchunguzi huru?
2. Kuzima Sauti za Wananchi: Kitendo cha Jeshi la Polisi kuposti taarifa za kiongozi huyu huku wakifunga sehemu ya maoni (comments) ni kielelezo cha kukataa uwajibikaji. Wanahofia nini kusikia maoni ya umma?
3. Uhalalishaji wa Unyanyasaji: Tunapoona taasisi yenye jukumu la kulinda raia ikimshabikia mtu anayelalamikiwa kwa kutesa raia (hata kama ni wao), je, tunajenga jamii ya namna gani? Hii ni ishara ya kutokuwepo kwa utawala wa sheria au ni kiburi cha madaraka?
4. Mafwele anasafishwa sasahivi ili kuendelea kusafisha watuhumiwa wanaohusika moja kwa moja na mauaji ya Oktoba 29?

Je, Jeshi la Polisi linafikiri wananchi wamesahau tuhuma hizi?

====

Guys Dr. Mwigulu Nchemba wewe umesema makofi hatuki makofi, waambie basi Jeshi la Polisi sisi tunataka kumpongeza Mafwele kwa kazi nzuri anayofanya watufungulie comments tumwage maua, au nakosea ndugu zangu?:BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:
Waanze Kwanza klumsifi mkolra nyonya damu!
 
Video na polisi jamii ingependeza zaidi.
Picha isiyo mjongeo ina acha nafasi ya uvumi na uzushi kuendelea.
 
Back
Top Bottom