Anayopitia kiongozi Mbowe Leo, ndio anayopitia viongozi wakubwa wa upinzani Russia na China na NI wazi wakomunisti wanatuongoza Tena

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Sasa kunakundi la waasi Libya yanateka maeneo, yanatengeneza uhasama na linalotumia makombora kutokea Russia linafanya mazhamWakati ambao mashitaka kwa Mbowe yakianza na wapinzani kushangaa, Kiongozi mkuu wa upinzani Russia Alexei Navalny hapungukiwi mashitaka na anaitwa gaidi na utawala. Huko China (hongkong) kupinga Sheria au Sera za China NI uhaini kamili. Kuwa mpinzani NI ualifu tosha.

Wapinzani hawajui NI Nani wanayepambana nae. Wakati wakisumbuka na Viongozi wa juu wa serikali na CCM wameshindwa kujua Nani hasa NI Adui yao.

Mwanzo wa utawala wa Magufuli alitaka kuwapa hauweni wapinzani. Alitaka asimame na haki kwenye uchaguzi wa meya wa Dar. Gafla aligeuka Simba mwenye hasira Kali dhidi yao. Akaamini wapo kumkwamisha na kumfedhehesha.

Mama alianza kwa kutaka kujenga taifa lenye Upendo kwa watu wa vyama tofauti. NI busara ya juu inayoweza kuruhusu Hilo kutokea.

Wakati Russia na Uchina zikitupa chini Democrasia zilizoishi nayo kwa miaka ishirini haziwezi kujenga mfumo huo bila washirika.

Iwapo waliingilia chaguzi Marekani sijui wanafanya Nini kwa Tawala zetu za kiafrika. Kama sio kutupangia na kuingilia kila kitu kuanzia siasa mpaka ushawishi kwa Mambo ya kiusalama.

Kama wapinzani wanapigania Democrasia ya Tanzania nje Basi ajenda iwe NI Democrasia ya dunia NI Kama imerudi nyuma kwa hatua 50 hivi.

Waikumbushe dunia jinsi utawala wa Nazi na Fashist ulivyoangaliwa ukujijenga na kuja kuleta Madhala makubwa kwa Dunia. Ilikuwa nusura kidogo tu 1945 waitawale dunia.

Waikumbushe dunia jinsi walivyomuacha Idd Amini Dada ajidhatiti na kuja kuwapola waingereza na wahindi Uganda. Jinsi alivyojaribu kuwateka waisraeli. Waikumbushe dunia utawala wa talbani ulivyokuja kughalimu maisha ya wamarekani.

Ubabe ni Imani inayojengwa na Wachina na Warussi na ikiingia mioyoni mwa watu ni vigumu kuitoa.
 
Mbowe anapigania anachokipenda

Hukumu zinatoka pasi na mahakama, yaani unahukumiwa hivi hivi.

Sasa je Mbowe atatoboa na je ni kweli kuwa gaidi au kuna mengine ambayo hatuyajui ? Ni hiyo Katiba mpya tu kweli.

Semeni kidogo sie wagumu kuelewa hata tuambulie
 
Kwanza unaamini Russiagate 😂😂😂😂?Navalny ,Kasparov wote ni mapandikizi ya CIA Urusi,,
 
Back
Top Bottom