Wito: CHADEMA chagueni Mwenyekiti mwingine, Mbowe kutoka ni ishu ya miaka

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,895
22,659
Leo nimemsikiliza mzee mmoja mstaafu kutoka Kitengo cha Kupambana na Ugaidi Tanzania.

Nimeshtuka sana pale aliponiambia kuwa ili mtu akamatwe kwa kosa la ugaidi lazima Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi atoe amri baada ya kujiridhisha na ushahidi wa mshukiwa.

Amenihakikishia kuwa trials za ugaidi si chini ya miaka 4 na mara nyingi huchukua muda zaidi na mshukiwa huweza kukaa ndani kwa kuogopa usalama wa nchi maana ugaidi ni mfumo.

Sasa nawashangaa CHADEMA badala ya kutafuta mrithi wa Mbowe wako bize na mabango wakati kule Afghanistan, Syria, Mozambique, Eritrea,Kenya na Nigeria hata Indonesia mtu akikamtwa kwa ugaidi ndio Basi tena.

Ni Bora CHADEMA kujielekeza kwenye kujenga chama badala ya kusubilia dodo chini ya mpera.

Kesi ya ugaidi sio kama kesi ya kuiba simu mitaani. Hapa Mbowe itachukua miaka kibao kutoka au kupewa dhamana.

Mashekhe wa uamsho wamekaa miaka 9 tena wao ni viogozi wa dini kwenye nchi yenye waislamu wengi na bado wamekaa. Mashekhe walitetewa na viongozi wa juu wa kitaifa na bado walikaa sana, tena Sana.

Kule USA Gwantanamo magaidi hadi leo wana miaka zaidi ya 25 wapo tu na kesi zao zipo kwenye trial, sasa ndo itakuwa Mbowe?


USSR
 
Endelea kutumika kwa uovu siku ya kulipa ipo Karibu, andaa kizazi chako kisaikolojia, kwangu na kwa wengine utajificha Ila Mungu hajawahi kufichwa na utakosa wa kumdanganya endelea kuishi na watesi na furahia Sana Ila wakati waja wa kusema ningejua Ila too late
 
Mkuu chadema imekufanya nini? Ilikuulia familia au,mwanao,mke,shangazi,baba yako,au mama yako,?

SIKIA chadema ina watu hata Mimi naweza kuibeba pale wanachama wakanipigia kura na kushinda nafasi Iyo,

Chadema sio Kama ccm eti kigezo Cha kua Mwenyekiti wa chama Basi uwe Rais, mnachapa mpaka form MOJA, uhuni tu CCM mmebaki nao hamna kitu pale ,

Sasa tumeambiwa Mbowe amepewa chakula hakikuonjwa na waliomletea chakula na akala, Ole wenu adhulike au afe mtamzika ,CHAMWINO,AU MAGOGONI DAR, Ispeek with confidence Kama Mungu haishivyo, ombeni lisitokee la kumtokea ,

Hii SIFICHI, na ujumbe uwe clear ,
 
Mkuu chadema imekufanya nini? Ilikuulia familia au,mwanao,mke,shangazi,baba yako,au mama yako,?

SIKIA chadema ina watu hata Mimi naweza kuibeba pale wanachama wakanipigia kura na kushinda nafasi Iyo...
Chagueni mwenyekiti mwingine mbowe ndio vile tena

USSR
 
Hata kama ni kesi ya uongo ili mradi tu kakuwahi au? Ina maana hata we ukiwa waziri wa mambo ya ndani ukamuwahi rais na kudeclare kwamba ni gaidi ndo basi tena
 
Back
Top Bottom