Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

September 15 ni siku ya kimataifa ya demokrasia duniani ambapo nchi mbalimbali duniani hupata fursa ya kujadili demokrasia ya nchi zao na wadau husika wa demokrasia katika nchi hizo kama vile...
5 Reactions
58 Replies
5K Views
Tangu atolewe kwenye Ukatibu wa Itikadi na Uenezi akili yake haijatulia kabisa. Ni kama anafanya vitu kwa kulazimisha ili kuupa furaha moyo wake. Je, anaweza kuwa amepatwa na tatizo gani? Au ni...
14 Reactions
68 Replies
8K Views
Kuna Watu ambao achilia mbali tu Elimu zao kubwa bali hata uwezo wao mkubwa wa IQ na Kuchambua Masuala ya Kitaalam na Kitaaluma wakisema mambo GENTAMYCINE huwaamini na Kushawishika. Kwa Ufafanuzi...
48 Reactions
197 Replies
17K Views
UMAHIRI WA MHE. RAIS SAMIA SALUHU HASSAN NI KIELELEZO CHA KUIMARIKA KWA UTAWALA BORA NCHINI TANZANIA. UTAWALA BORA ni matumizi ya Mamlaka ambayo yanakuwa na Uwazi, Uwajibikaji, Ushirikishaji wa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna uwakilishi wa Jumuiya ya Ulaya, ubalozi wa Marekani, ubalozi wa Canada, ubalozi wa Uingereza na ubalozi wa Sweden wapo nje na wao wanasubiri chumba cha Mahakama kifunguliwe, ili waingie...
9 Reactions
77 Replies
6K Views
Kutokana na uzalishaji mkubwa wa mahindi uliofanyika mwaka huu na kupelekea bei ya mahindi kushuka sana, mbunge wa Namtumbo Vitar Kawawa ameiomba serikali itoe fedha inazopewa kama msaada wa...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Najiuliza mini chanzo cha matamshi haya ya PM?
4 Reactions
42 Replies
5K Views
Katika kipindi cha Kinagaubaga cha Idhaa ya Kiswahili ya DW cha nchini Ujerumani, Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa ameeleza kiundani sababu za Rais Samia kurekodi Makala Maalum...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Rais Samia awe makini kukwepa kusema uongo mbele ya umma Rais Magufuli alipenda propaganda ndio maana watu werevu walimchoka mapema kwa propaganda Alichukua pesa za michango ya rambirambi Bukoba...
27 Reactions
56 Replies
5K Views
Siri imevuja kuwa kumbe ule muswada wa CYBER CRIME unakuwa pushed na Waziri January Makamba ambaye anasifika kuwa mtumiaji mzuri wa mitandao ya kijamii ili kuwafikia vijana wengi na watanzania kwa...
32 Reactions
349 Replies
47K Views
Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye Waziri Mkuu Mstaafu mzee Sumaye amesema Bunge la chama kimoja halina afya kwa maendeleo ya nchi na kwamba bunge la namna hiyo huifanya Serikali ilale...
14 Reactions
72 Replies
6K Views
Ni vyema Rais Samia wakati wa kutoa maelekezo yake awe anakuwa wazi nini hasa anataka na atoe kauli zenye nguvu ili ujumbe ufike kwa nguvu pia kwa wahusika wote wa pande mbili. Leo wakati anatoa...
36 Reactions
88 Replies
8K Views
Ile kesi ya mda mrefu ilieanzishwa na Mchungaji Mtikila imepatiwa ufumbuzi na Sasa serikali ya Tanzania inatakiwa iruhusu Wagombea huru kwenye chaguzi zetu ikiwemo wa uraisi === Baada ya Mahakama...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Nilijua tu kuwa hawa Rai wanaongopa. Hii ni taarifa ya Mnyika kwa vyombo habari: TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI VIONGOZI WA USHIRIKIANO WA VYAMA VYA UPINZANI KUZUNGUMZA NA WANANCHI KUHUSU...
0 Reactions
29 Replies
5K Views
MegaPyne
Tafadhali tuma andiko hili kwa watanzania wasio pungua 10. Pale ambapo hakuna internet chapisha na sambaza kila kona ya nchi. TANZANIA KUBADILIKA INAWEZEKANA Mwaka wa 1961 tulipata uhuru wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Watu wenye hasira wachoma moto makao ya polisi 2007-10-09 11:13:02 Na Renatus Masuguliko, PST Chato Watu 56 wanashikiliwa na polisi mkoani Kagera kwa kuhusika na vurugu za kuchoma moto makao...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Alberta royalty grab stuns oil industry Stelmach unveils new regime that will mean a potential windfall of $1.4-billion for the provincial treasury beginning in 2010 DAVID EBNER AND KATHERINE...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kulikuwa na haja gani ya kusema kuwa Polisi wataanza kukagua shule za dini zaidi ya kuleta taharuki na kuzalisha chuki? Kama Polisi inadhani kuna matatizo huko kwenye shule za dini, je mbinu...
16 Reactions
45 Replies
4K Views
Mengine yote yatakupotezea muda mwisho wa siku hao hao wenzako watakupiga na chini na maneno kibao, hawana kheri hao Jambo moja Rais Samia la kuwafadhaisha hao wanaokusogelea ambao hawana ukweli...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…