Kulikoni wastaafu wa mfuko uliokuwa LAPF!

Chendembe

JF-Expert Member
Oct 20, 2019
416
462
Wanabodi, tunafahamu awamu ya tano iliunganisha mifuko ya pension nchini ambapo Mfuko wa LPAF ni miongoni mwa iliyoathirika na Hilo.

Kutokana na Hali hiyo, Mfuko wa LAPF umejumuishwa katika Mfuko wa PSSF.

Mshangao wangu ni kuona watumishi wa iliyokiwa LAPF kutolipwa kwa muda mrefu wengine yafika miaka mitatu Sasa wakati huo nimeona wastaafu wengi wa iliyokiwa PSPF wakilipwa mwaka huu wa fedha Hali iliyonipelekea kupwata mshangao kwa kuwa mifuko hiyo Sasa ipo katika chungu moja kwa uelewa wangu mdogo.
 
Back
Top Bottom