Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wadau kama taarifa hii ilishatolewa/kuwekwa wazi huenda mie sikuiona. Waliopewa dhamana hii kwa wiki 2 nadhani ni miezi sasa imepita! Je? Nini kimeikumba timu hii au posho ya mkao ilishapita kama...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Katika pita pita zangu, nimejaribu sana kuelewa hali ya siasa nchini haswa katika uwezo wa chama chochote kuvutia wanachama wapya na kueneza itikadi zake. Nimegundua kwamba ni muhimu sana kwa sera...
2 Reactions
3 Replies
614 Views
Serikali ya kikoloni ilikuwa occupation na walitumia Dola, Vitisho na ubabe kutwaa madaraka lakini walijua siku ikifika wameshindwa watarudi makwao. Hawa wakoloni weusi ni kama hawatambui kuwa...
12 Reactions
31 Replies
3K Views
Wanachopitia CHADEMA ndicho walichopitia CUFmiaka ya 2001, hakuna kilicho kipya zaidi naiona nyota njema kwa CHADEMA. Mbeleni kama si kuchukua nchi ni serikali ya Mseto, kama hutaki bakia kua...
21 Reactions
48 Replies
4K Views
Mwaka mmoja uliopita Sasa anatumia za kukodisha Ambazo gharama ni kubwa na ukizingatia tuna ndege za serikali na marubani wa serikali kwa ajili ya usafiri wa viongozi ukiacha wahandisi na...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Hakika huyu mama ndiye mzalendo wa kweli hapa nchini. Ingekuwa hawa wengine ndiyo angemwaga mabilioni kama zawadi maana anajichotea. Mama Maria Nyerere leo amewakabidhi wapanda baiskeli wanao...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Katika kijiji cha Kitewele Wilaya ya Ludewa Mkoa wa Njombe hali sio hali, kwani hakuna huduma ya za afya karibu, Wananchi wanalazimika kutembea zaidi ya km 30 kufuata huduma katika kituo cha afya...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Mbinu za baadhi vyama tawala Afrika kubaki madarakani ni kama zifuatavyo. A. Kuanzisha vyama feki vya upinzani vitakavyounga juhudi. B. Kutumia dola kukandamiza chama kikuu cha upinzani C...
11 Reactions
80 Replies
6K Views
Leo baada ya kumaliza kupeana salamu na ndugu zetu waliotoka ibadani , nilikaa sehemu fulani hapa Oysterbay nikiwa napata moja moto, moja baridi , huku nikiwa nawaza na kuwazua yanayoendelea hapa...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
33341 Kuna habari kuwa mama kavunja rekodi ya makusanyo ya Kodi tangu Tanzania ipate Uhuru kwa kufikia 1.9 T, zilizokusanywa kwa njia Bora kabisa bila kutumia nguvu. Watu wanarukaruka na...
0 Reactions
3 Replies
943 Views
Bi. Jesca Kishoa, Mbunge. Kielelezo cha Amani Ulimwenguni mwa Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kufikia mwaka 2020 kiliorodhesha Tanzania 52 katika nchi 163, na alama 1.85, chini ya Senegal...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Ukweli ni kwamba pamoja na kukatika umeme kwa nyakati fulani wakati wa uongozi wa Magufuli lakini kero hiyo imezidi na kushamiri mno kipindi hiki cha miezi 6 baada ya kifo cha JPM. Sielewi...
8 Reactions
54 Replies
4K Views
Wakazi wa kijiji cha Kitewele chenye jamii za wafugaji,wavuvi na wakulima wilayani Ludewa mkoani Njombe wanadai kulazimika kusafirisha wagonjwa kwa machela za miti na mhanzi zaidi ya km 32...
1 Reactions
9 Replies
986 Views
uly 19, 2021 -- There are lots of unfounded fears about the COVID-19 vaccines floating around, and one of the most pervasive is the idea that these new shots aren't really vaccines, but that they...
0 Reactions
0 Replies
515 Views
Ni bora mkatudadavuliya ili tujue ni nani na kipi kinatofautisha udikteta. Vipimo vitasaidia na kuwasaidia waamuzi wanapoamua ili watazamaji wasione kuna upendeleo. Kuna mtu alimwita jamaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KIPINDI CHA MIEZI 6 WAWEKEZAJI WAMEVUNJA REKODI YA KUJA WENGI NCHINI. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema katika kipindi cha miezi sita ikiwa ni...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
WANANCHI WA MWASONGA WAMTAKA NDUGULILE KUFUATILIA KILIO CHA BARABARA YA LAMI YA KIBADA-MWASONGA Wakazi wa Mwasonga leo tarehe 2 Oktoba 2021 wamefanya kikao na Mbunge wa Kigamboni Mhe. Faustine...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hayati Magufuli aliyazungumza hayo katika hafla ya utiaji saini wa ujenzi wa Nyerere Hydroelectric Power Ikulu jijini Dar es Salaam. Angalia video hapo chini.
14 Reactions
73 Replies
6K Views
What is a 'Ponzi Scheme' A Ponzi scheme is a fraudulent investing scam promising high rates of return with little risk to investors. The Ponzi scheme generates returns for older investors by...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Maharage Chande, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO ana umri zaidi ya miaka 45. Ameingiaje kwenye utumishi wa Umma ? Au ni urafiki wake na Waziri wa Nishati January Makamba (cronyism) ndio...
32 Reactions
105 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…