Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

My take 1. Namuunga mkono kuhusu uhuni waliofanywa wamachinga, maana walipewa siku 12 za Ziada, kabla hazijaisha maeneo yao yakavamiwa usiku na kuvunjwa 2. Simuungi mkono kuhusu kumtetea Samia...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu. EU imeahidi...
3 Reactions
66 Replies
5K Views
Habarini za wakati huu viongozi mbalimbali wa serikali, ndugu zangu, kaka zangu, baba zangu, marafiki zangu kwa ujumla. Siku ya leo nimekuja na swali muhimu sana. Swali langu nalielekeza EWURA...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Hivi ndivyo walivyofanya wanawake wa CHADEMA Kanda ya Pwani , ambapo Jana Jumamosi ya 30/10/2021 viongozi hao wa BAWACHA kanda ya Pwani walifika kwenye Makazi ya Freeman Mbowe Mkoani Dar es Salaam...
28 Reactions
108 Replies
9K Views
Kwa kuwa chama kina dhamana ya kuiweka serikali madarakani na kuisimamia, kubuni na kuitekeleza ilani ili kutatua kero za wananchi na kuwaletea maendeleo. Kwa maoni yako unadhani ni chama gani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Maelezo ya onyo ya Adam Kusekwa mmeyachukua kama ushahidi. Na kwa mantiki hii ni kuwa alikiri kufanya mnayodai kuwa njama za ugaidi. Mengine mnataka kuleta Mbwembwe kama golikipa Spear Mbwembe...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Amesikika Mheshimiwa Ndugai akiwananga baadhi ya Mawaziri: “Hata kwa jambo ambalo liko wazi tu lakini (waziri) haambiliki hayo tumeyaona lakini sidhani kama nyie mtakuwa sehemu ya hao. Wanadamu...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakili msomi Peter Kibatala V/S Mtoto wa IGP Mahita. KIBATALA: Inspekta Mahita nimekufuatilia wewe ndiye ulikuwa arresting Officer? MAHITA: Sahihi. KIBATALA: Kazi ya Kingai ilikuwa nini...
58 Reactions
122 Replies
21K Views
Hii biashara ilipokuwa imepamba moto, MATAGA walifurahia sana wakiamini CHADEMA itakufa kutimiza azima ya mwenyekiti wao(Mwendazake). Tulishuhudia wimbi la baadhi ya madiwani, wabunge na...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Siyo siri kuwa vita vitakatifu vinaendelea pale mahakamani. Ni wazi kuwa ule upande mwingine bila kumwacha awaye yote: wote wako Chobingo, na wala si cha mtoto! Tunapo tathmini yanayojiri...
21 Reactions
126 Replies
12K Views
Wataalamu wa serikali ya awamu ya tano wa Jiji la Arusha wameona wawapange wamachinga kwa mfumo huu 1. Soko la Mbauda litakuwa la nguo za mitumba. 2. Soko la Machame Luxury litakuwa la vyombo na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hapo vipi! Binafsi sijawahi kumsikia huyu mkuu wa mkoa wa Arusha akiongelea suala la machinga. Ila mara kwa mara wamekuwa wakisikika wakuu wa mikoa wa Dar-es-salaam ndugu Amos Makalla na...
7 Reactions
20 Replies
3K Views
Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema katika miaka 5 iliyopita serikali imeweza kujenga viwanda 8000 vingi vikiwa mkoa wa Pwani ambalo ni eneo la kimkakati. Msigwa amesema hayo katika mkutano...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Kesi ya inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo Ushahidi unaendelea kutolewa. Shahidi wa kwanza kwa upande wa Jamhuri...
37 Reactions
347 Replies
48K Views
Habari ndugu? Kama sote tujuavyo kuwa kuna fedha zimetolewa kwaajili ya kuboresha uchumi kutokana na athari za Corona. Kwa hili nampongeza sana SSH kwa kuzielekeza kwenye sekta ya elimu. Hii ni...
1 Reactions
3 Replies
857 Views
Msemaji wa serikali Gerson Msigwa amesema fedha zitokanazo na Tozo ya miamala ya simu zina majukumu yake ikiwemo ujenzi wa Zahanati 220 vijijini. Mkopo wa IMF ambao sehemu una riba nafuu na...
0 Reactions
1 Replies
667 Views
Huyo Tonny Blair tuko wengi tunamuona kama mzandiki fulani. Alimuunga mkono Bush kuivamia Iraq kwa sababu za uongo eti kuna silaha za maangamizi wakati ni uongo. Nchi nyingine za Ulaya zilisita...
4 Reactions
51 Replies
5K Views
Awali kulitokea taarifa kwamba Polisi wamezingira ofisi za kanda , lakini baadaye taarifa hiyo ilikanushwa , hivyo kongamano hilo liliendelea kama ilivyopangwa na kuhudhuriwa na wakina mama wengi...
13 Reactions
63 Replies
5K Views
Mheshimiwa rais, Unabeba lawama za moja kwa dhulma na manyanyaso na uonevu waliofanyiwa na wanaoendelea kufanyiwa wamachinga katika zoezi hili onevu na kandamizi linaloendelea nchini dhidi yao...
6 Reactions
37 Replies
3K Views
Niwasalimu Wana jf popote mlipo, MOJA KWa moja kwenye hoja Sio siri tena CHADEMA TZ mpaka mda huu tumepishana na jeshi la police tz , na waliotufikaisha hapa ni CCm kutumia vyombo vya dola kisa...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…