Tabia ya demokrasia ni kuweka mlolongo wa mambo ambapo hata maamuzi mazuri na yenye tija bado yanahitaji maamuzi ya wengi ili yatekelezwe tofauti na mahali ambako hakuna demokrasia mnyororo wa...
Katika kuongea na wenzetu wana siasa Ulaya na Marekani, ni muhimu kutazama tatizo lolote kwa uwigo mpana zaidi.
Wakati wa utumwa , waafrika walichukuliwa kuwa kama wanyama wa kazi, kama punda na...
Naelezwa hapa kwamba siasa za Tanga zimeshika kasi baada ya Ummy Mwalimu kubeba mikoba ya akina Mwantumu Mahiza, Aisha Kigoda na Beatrice Shelukindi so Da Ummy anakimbiza kweli kweli na ndio...
"Makamba naye asema tunahitaji Rais ajaye wa dikteta"
Ni kumaliza rushwa nchini, asisitiza hatanii anautaka urais 2015, aihadharisha CCM dhidi ya wagombea wanaotaka kuongoza nchi kwa kumwaga...
Kwa maoni yangu operations za kuondoa machinga zimepitiliza japo msingi wake wake ulikuwa mzuri tu kupanga miji visuri.
Hakuna haja ya kuondoa machinga wote mji mzima iliapaswa kuishia maeneno...
Hakuna asiyejua kuwa uwepo wa wale wanawake 19 bungeni, wakidai wanawakilisha Chadema, wapo kwa mbeleko ya chama tawala.
Kwa taarifa za tokea wakati ule, ni kwamba dada mkubwa sauti ya zege ndiye...
Wakati Tanzania inaadhimisha uhuru wa Tanganyika unaotimiza miaka 60 9 Disemba, 2021, kumekuwa na kupooza kiasi kwamba mitaani, viwanjani na kwenye majukwaa hakuna dalili za kuashiria shamrashamra...
Kwanza nianze kwa kuipongeza Serikali Kwa kutusambazia maji katika eneo leo. Pamoja na Nia njema ya Serikali kutupatia maji. Baadhi ya watendaji wa Dawasco wamekuwa wakikwamisha juhudi za Serikali...
Assalam aleykum wana JF, bwana Yesu asifiwe! Natumaini mnajiandaa na mapumziko mema ya mwisho wa wiki popote mlipo.
Mimi na Watanzania wenzangu wengi sikuwa na uhakika na uteuzi wa bodi ya...
Masoko ya chakula nchini yamekuwa katika hali ya uchakavu na uchafu hivyo kuhatarisha afya za watumiaji wa huduma za masoko hayo hususani wanawake ambao ndio watumiaji wakubwa wa huduma hii. Hii...
Waslaam wakubwa
Naomba nianze na swali la msingi ambalo limekuwa sehemu ya mjadala. JSerikali ya awamu ya Tano ni nini au ni nani?
Swali la serikali ni nini? bila shaka huu ni mfumo wa utawala...
Katika viongozi wachache tuliyobaki nao katika kujenga hoja na kuwa mkweli ni Jenerali Ulimwengu.
Hotuba nyingi za mwanasiasa huyo inanikumbusha jinsi Mwalimu Nyerere alivyokuwa akitoa hoja...
Kwanini Gesi inayo zalishwa Tanzania kwasasa isitumike kwenye Magari ??,
Tanzania tukiamu kwenye hili tutajigemea kwa kiasi kikubwa katika nishati ya usafirishaji (Transportation fuel)...
Hivi ni kwanini vijana hawaaminiki katika jamii yetu? Kuna wanaosema vijana hamna kitu, ni washenzi, wamechanganyikiwa, ni wavivu, matapeli, matokeo yake vijana hawapewi nafasi katika vyombo vingi...
Kama Rais Samia alianza dk za mwanzo tu za mchezo kuupiga mwingi sana. Wapinzani tulifurahia na kauli mbiu Mama anaupiga mwingi. Kipo wapi?
Ujinga ule ule wapinzani wameubeba na kuanza kumpamba...
1. Ujamaa ulikufa kwa sababu ya viongozi kushupaza shingo kwa kukataa kukosolewa.
2. Viwanda vilivyobinafsishwa ( japo sera ilikuwa nzuri) haijulikani abc za nini kinaendelea. Wachina wako busy...
Juzi nimeona picha na video ya Waziri Makamba kuwa amekutana na makampuni ya uwekezaji kwenye mradi mkubwa wa gesi wa trillion 70.
Cha ajabu ni kuwa kuna timu ya Taifa ya Majadiliano ya uwekezaji...
Kwa kawaida tulitarajia...
1: Wamachinga waandamane na kufanya fujo.
2: Kuona wapinzani wakiitumia hii kama fursa ya kujijenga kisiasa.
UHALISIA
1: Wamachinga wametii haraka tena kwa ustaarabu...