Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tumejadili sana suala la katiba mpya na nadhani tutaendelea kujadili zaidi. Lazima tuendelee kujadili kwa uwazi na ukubwa. Hata tukija kuandika katiba mpya na wananchi wakaipitisha, bado...
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Lazima tuweke utamaduni wa kupongeza. Uwekezaji umeongezeka na kwenye hili hakuna ubishi. Lakini cha kufurahisha ni kwamba uwekezaji umeongezeka wakati bado kuna Covid. Hii imetokana na uwezo...
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Ndani ya miaka 60 ya uhuru chama cha CCM kimeshindwa kutatua changamoto ndogo kabisa ya maji na umeme halafu wiki hii kuelekea siku ya uhuru 09/12/2021 Rais wa utawala wa kiraia kutoka chama...
15 Reactions
31 Replies
3K Views
Huu mkanganyiko wa kauli za hawa viongozi waandamizi wa chama na serikali kuhusu bandari ya Bagamoyo inaonyesha kuna madudu sana ndani ya terms of contract,na hii inatokana na baadhi ya viongozi...
13 Reactions
95 Replies
8K Views
Mtani wangu na mkuu wangu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo, nakusalimu na kukutakia kazi njema. Nakuuliza tu kizalendo: unayasikia au kuyasoma maneno yasemwayo na...
103 Reactions
243 Replies
26K Views
Kwa mujibu wa katiba ya Japan kiongozi mkuu wa executive ni waziri mkuu. Tangu mwaka 2000, Japan imeongozwa na mawaziri wakuu 11, kati ya hao 8 wameongoza chini ya mwaka 1 na nusu. 1. Yoshiro...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Tanzania ina watu wanaokimbilia milioni sitini ikijumuisha watu wenye uwezo wa kufanya kazi na wasio kwenye kundi hilo kama watoto na wenye umri mkubwa. Sasa ndugu Shaka anasema miezi michache ya...
15 Reactions
34 Replies
3K Views
Kesho Inshallah, mawakili wasomi watawasilisha majumuisho yao mbele ya Jaji Tiganga. Msingi wa kinyang'anyiro bila shaka utakuwa katika uhalali wa Detention Registers (DR). Moja kutokea Central...
21 Reactions
49 Replies
4K Views
Hello members. Hivi karibuni nchi ya Uganda imeanza ujenzi wa barabara za kimkakati zinazolenga kukuza biashara baina yake na nchi ya DRC Congo.. Barabara hizo zinajengwa ndani ya Mipaka ya DRC...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Rais wa zamani wa Zaire (sasa Congo) Mobutu Seseseko alisafiri kwenda Ulaya, Marekani na Asia zaidi ya mara 890 kwa muda wote aliokaa madarakani kwa miaka 32, lakini hiyo haikuwafanya wawekezaji...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Serikali imesema haitavumilia vitendo vya rushwa ya ngono katika Taasisi za elimu kwani ni ukosefu wa maadili na vinashusha heshima ya wanataaluma pamoja na taaluma katika taasisi hizo. Kauli...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Serikali ya Tanzania tarehe 04/12/2021 inatarajia kupokea zaidi ya wawekezaji 300 kutoka nchini Misri ambao watawekeza nchini katika sekta za Usafirishaji, ujenzi, uzalishaji wa bidhaa za petroli...
2 Reactions
67 Replies
5K Views
Mwanasaikolojia Dr. Anthony Mwakikuma amesema ukimya wa Dr. Bashiru unasababishwa na sonona baada ya kushushwa ghafla toka cheo na.4 serikalini hadi kuwa mbunge wa kawaida kabisa. Kwa upande...
33 Reactions
110 Replies
10K Views
Habari za majukumu wadau, Kuna kongamano linaendelea huko Zanzibar, Mgeni rasmi ni Dr. Husein Ally Mwinyi. Kongamano hilo ni kuazimisha miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika lakini linafanyika...
2 Reactions
21 Replies
44K Views
Chini ya dr Menard Kalemani tuliambiwa tanesco tayari ilikua inajiendesha yenyewe na taarifa ya mwisho ya hesabu shirika lilianza kupata faida. Asili ya tanesco kua mzigo ni kugeuzwa shamba la...
8 Reactions
31 Replies
3K Views
DC MWENDA AWAFUNDA VIJANA JINSI MIAKA 60 YA UHURU UCHUMI WA TANZANIA ULIVYOBADIRIKA Maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru mkoani Singida vijana wamefanya Kongamano Vijana na wametakiwa kuenzi miaka...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Dr. Emmanuel Nchimbi akiwa Waziri wa Mambo ya ndani ndipo iliposhamiri matukio ya kuteswa waandishi wa habari ikiwemo kifo Cha Mwangosi huko Iringa. Baada ya kuonekana Hana Jambo lolote...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Kila mwanaChadema anataka kuwaaminisha watanzania kuwa Mbowe amebambikizwa shitaka la ugaidi. Mbowe anaonewa maana sasa amewekwa kwenye sero ya wafungwa wa kunyongwa. Sawa, mnaweza kuwa sawa...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Wakuu huyu Mheshimiwa amekuwa kimya sana. Yupo wapi Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu Dkt. Bashiru.
6 Reactions
175 Replies
18K Views
CCM ni kwa ajili ya Wakulima na Wafanyakazi (Jembe na Nyundo). Na haya ndio kiini cha maisha halisi ya watanzania na ndio maana hiki chama nakipenda sana. Lakini, kwa sasa CCM ni chama cha...
2 Reactions
9 Replies
950 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…