Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Viti Maalum kutoka CCM, Jackline Ngonyani, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA aliwadanganya Watanzania kuhusu Serikali kufunga biashara zake na kumyanyasa. Amesema biashara anazozifanya...
14 Reactions
144 Replies
15K Views
Sasa ni wazi hali imeanza kuwa tete kwa wafanyabiashara washirika wa vigogo wa serikali na watoto wao... Kampuni ya Home Shopping Centre washaanza kufungasha virago na kukimbia kusikojulikana...
27 Reactions
313 Replies
114K Views
Mwenyekiti mstaafu wa Shinyanga Khamis Mgeja kwa niaba ya wazee amemtaka Humphrey Polepole kuacha kufarakanisha wananchi na Serikali Wameomba vyombo vinavyohusika viangalie Chuo cha Uongozi...
17 Reactions
43 Replies
4K Views
Bila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt. Musukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini. Huyu jamaa yupo smart sana. Anaweza kuleta mageuzi...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Mh Mbowe muda huu tunajua upo gerezani ukiwa unalindwa na pembe 4 za kuta za magereza. Lkn huku mitaani unakumbukwa kila siku na mamilioni ya watanzania wapenda amani. Naikumbuka hii siku ulivyo...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Ndio kama mnavyosoma hapo juu, Style inayotumika sasa inaitwa ZIGZAGA, huyu kule huyu huku, ni mwendo wa mashambulizi bila kukoma. Kwa siku mbili mfululizo Mwenyekiti wa Bawacha Mh Sharrifa...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Hotuba za Rais Samia Suluhu Hassan ukilinganisha na hotuba za watangulizi wake ni fupi fupi sana hadi zinaboa. Vipi ndo itifaki zimebadilika ama Kuna tatizo mahali? Naomba kuwasilisha.
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Mhe. Waziri Mkuu ametambua uwepo wa viongozi mbalimbali uwanja wa Uhuru huku akisoma list, lakini katika list hiyo Mme wa Mhe. Rais ajatajwa kama tulivyozoea wake wa viongozi wakitajwa katika...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Rais Magufuli afuta safari za viongozi wa serikali kwenda kupokea Mwenge Rais Magufuli afuta safari za viongozi wa serikali kwenda kupokea Mwenge - MUUNGWANA BLOG ais wa Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Interchange ya ajabu sana hii. 1. Kutoka kimara kwenda buguruni kuna wakati foleni inavuka ubungo maji 2.pamoja na ukubwa lakini hakuna sehemu za kupita wapita kwa miguu. 3. Kuna nafasi kubwa...
12 Reactions
82 Replies
7K Views
Chachu na kasi kubwa ya maendeleo huendana na mfumo thabiti wa kuitawala katika serikali. Mfumo bora wa kiutawala huleta msisimko kwa watendaji, watumishi na wananchi kujitoa kwa dhati kuleta...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mabibi na mabwana, Mama Samia anahitaji uungwaji mkono katika kuijenga nchi hii. Mama ni muungwana na anayo nia ya dhati ya kuiendesha nchi kwa mujibu wa katiba. Pamoja na yote anayosema na nia...
9 Reactions
73 Replies
4K Views
Mimi nina elimu ya juu ya biashara nimekuwa nikimfuatilia Mh Kishimba hasa juzi alipokuwa CBE ana mawazo makubwa yanayowazidi wasomi wengi. Mama anaweza kumpa uwaziri ila asiwe na wizara Maalum...
2 Reactions
4 Replies
569 Views
MHESHIMIWA UMMY MWALIMU: UNAJUA KUWA WITNESS MAKOTI ALIYEPIGWA NA MWALIMU MKUU NA KUVUNJWA JINO SASA AMESIMAMISHWA KAZI KULE MOROGORO? Mheshimiwa Waziri Ummy Mwalimu! Amani iwe kwako! Miezi...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau nawasalimu nimekuwa anafuatilia matangazo ya maadhimisho ya sherehe za miaka 60 ya Uhuru kupitia TBC. Kinachonishangaza ni watangazaji wa TBC wanatangaza kuwa tunaadhimisha miaka 60 ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ANAYEGAWA MALI ZA MAREHEMU NI MSIMAMIZI WA MIRATHI NA SI MAHAKAMA. Na Bashir Yakub, WAKILI +255 714 047 241. Unapokwenda kufungua shauri la mirathi mahakamani haimaanishi kuwa unakwenda kuiomba...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu amesema miradi ya kifisadi ya madini ya mgodi wa Buzwagi na Nzega ina saini ya Jakaya Kikwete kipindi hicho akiwa waziri wa Nishati na madini, kwa hiyo...
9 Reactions
73 Replies
48K Views
Tanzania inaadhimisha miaka 60 ya uhuru tangu kuondoka kwa wakoloni wa Kiingereza nchini mnamo 1961. Tanzania imepiga hatua katika Mambo mbalimbali bàada ya Uhuru huo kisiasa, kijamii na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
UFAFANUZI. Tsh. Bil. 4 za Sherehe za Uhuru zilizotumika kujenga barabara ya Morroco-Mwenge (2016) zilifanya upanuzi wa barabara za njia 2 zilizopo katikati ya barabara na Tsh. Bil. 71.8 za msaada...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
"PhD ya Siasa na Uongozi ni Shahada kubwa sana kimataifa, kwa kuwa Taifa lolote linaongozwa na siasa pamoja na uongozi. Mimi kwa sasa naweza kuitwa Marekani, Liberia, India kama kuna mgogoro na...
13 Reactions
39 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…