Mchungaji Lusekelo amesema kiburi ni kwa ajili ya vijana siyo Wazee kwa sababu katika uzee ndio hutoka busara, hekima na Upendo kabla ya kumrudia muumba.
Hivyo mtu mwenye miaka 60 na zaidi ana...
Msanii wa reggae Ras Mtimanyongo amesema brigedia Moses Nnauye anatakiwa kutunukiwa kitu kikubwa kama kumbukumbu yake badala ya kufikiria kuliita soko jina lake.
Na kama ni lazima iwe ni soko...
Jaji Tiganga amekubaliana na wakili msomi Kibatala kwamba sababu alizotoa Wakili wa Serikali kuwa shahidi Jumanne ameshindwa kuja mahakamani kutokana na kuwa na dharura ni nyepesi sana.
Jaji...
Kwa mtazamo wangu, naona vyama vya siasa kususia mijadala hasa inayohusisha maswala la kisiasa sio suluhisho la changamoto zinazojitokeza katika nyanja hiyo.
Namwona Ztto Kabwe kama mtu mwenye...
Inashangaza sana kuona wafuasi na wanachama wa upinzani wanafurahia uonevu anaofanyiwa Hamphrey Polepole. Hii yote ni sababu tu alipokuwa mwenezi wa CCM taifa alijenga imani ya CCM kwa wananchi na...
Ni kilio cha muda mrefu cha wanasiasa wa Tanzania hususan vyama vya upinzani. Wanataka kurudishwa kwa mikutani ya hadhara ambayo ni haki yao ya Kikatiba, lakini iliminywa wakati wa utawala wa...
Rais wa JMT Mama Samia amesema kwa sasa Serikali yake haifikirii kuanzisha Mikoa na Wilaya mpya kutokana na hali ya kiuchumi ya Taifa letu kwa sasa.
Akijibu ombi lililotolewa na Mbunge wa jimbo...
Alitabiri Remy Ongala kuwa Ccm ilishakufa sasa yametimia.
Kuna wanaCcm waliokuwa upande wa hayati JPM wanaona sasa nchi imekamatwa mikononi mwa mafisadi na wezi.
Kuna wanaCcm kumbe walifurahia...
Baada ya Chadema kuususia na kuonyesha msimamo Msajili kabadili gia angani, kwa hiyo Chadema walikuwa sahihi kwa vile wao waliandika barua ya kuonana na kuzungumza na Rais sio kuhutubiwa na rais...
Tunaona kila kitu kinavyoenda na kwa kweli sio mbaya kabisa kwani Mbowe akifungwa itakuwa ni chachu Zaidi ya mapambano kwani very soon we will see the right light!
Leo Shahidi wa michongo Afande...
Wakati wa hayati JPM waziri mkuu Majaliwa alikuwa akifanya ziara mahala watu uharo unawatoka.
Alikuwa akitoa matamko kila mtumishi wa umma anatapika nyongo.
Kwa ufupi naona kama alikuwa...
Niwe muwazi hadi sasa sijaona kama polepole Anapingana na mama Samia, nilichoona ni polepole anapinga na wale anaoamini ni adui zake ndani ya chama.
Pia kwangu Mimi hili halina afya, ndani ya...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo
Amesema mambo ya hovyo...
Mbunge wa Kawe askofu Gwajima amesema endapo utampa lifti shetani na wewe mwenyewe ukazubaa kidogo tu basi utakuta yeye ndio anaendesha gari na wewe umewekwa pembeni
Askofu Gwajima amewataka...
Chama Cha ANC kili-document wale wote waliohusika kwenye kesi ya mchongo ya Mandela, kuanzia mashaidi, mawakili Hadi majaji
Wazo la kutunza kumbukumbu za waliohusika kusuka kesi hii lazima...
Wasalam,
Kuna msemo maarufu usemao, " asiejua aendako hawezi potea njia".
Msemo huu sasa unasadifu vema siasa za nchi yetu Tanzania; kuna kizazi kilichozaliwa hasa baada na wakati vyama vingi...
Leo nawaletea stori fupi kwa njia ya video fupifupi jinsi ambavyo Rais wa mchongo huwa anapatikana.
Rais wa mchongo ni Rais ambae amechongwa au kulazimishwa kuwa Rais na mamlaka ambazo zimepewa...
Moja ya vitu ambavyo watu wengi wanapuuzia ni hili suala la mikopo kwa nchi yetu.
Lakini hawajui kuwa mikopo hii ndio inayofanya miradi ya Maendeleo. Watu wanafurahia miradi Ila hawajui pesa...