Rais Samia: Nitasimama na wananchi

Rais Samia: Nitasimama na wananchi

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo

Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali

Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
 
Chief H bhana, kila jambo Na kila tope anataka kuaminisha kuwa yamesababishwa Na mwanaChato
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo

Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali

Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Safi sana Mama Samia
 
Ni kweli achague kusimama na sisi wananchi na aachane kusimama na wana CCM ambao wengi wao ni wanafiki, kula na kuliza ndiyo tabia yao.

Maana wana CCM washaona kama kwamba mama ni mali yao..kila siku kumkosoa kosoa, ilo aongoze nchi wanavyotaka wao.. hapana.
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo

Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali

Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Mama amekuta uozo mkubwa ambao chanzo chake Ni awamu ya Tano,

Kwaiyo ana kazi kubwa yakuondoa huo uozo, nakutimua mabaki yote ya awamu iliyopita ambao wanamkwamisha kwa namna moja au nyingine
 
Samia na Magufuli ni walewale. Ccm sio chama tena cha wakulima na wafanyakazi.
Kwanini CCM iwe chama cha wakulima na wafanyakazi pekee ilihali wasanii na wafanyabiashara pia wanahaki ya kuwa wanachama CCM?
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo

Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali

Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Aliyemrudisha makamba ni nani mtu anayetuhumiwa kuww na vitendo visivyokuwa vya kiuaminifu unnazaje kumpa wizara mhimu .makamba ndo akawarudisha akina sinare family wahujumi wa tenesco

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo

Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali

Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi

Izo awamu zote yeye alikuwaga wapi[emoji848]
 
Back
Top Bottom