Professor and Author will be Speaking at the Education sector symposium this Tuesday

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
5,080
8,217
We are honored to announce,Mr. Richard Mabala , Educator, Professor and Author will be Speaking at the Education sector symposium this Tuesday @UdsmOfficial Library conference hall.
1638799783428.png


My take:
Chini ya utawala wa Jiwe hii ilikuwa ni dhambi kubwa sana, Nakumbuka alitaka kumfukuza VC UDOM sababu tu aliandaa kongamano la Elimu ambalo wazungumzaji wakuu walikuwa Mbeki na Mkapa. Kongamano lilifutwa wakati Mbeki ameshatua Airport, Sijui Mbeki alipeleka ujumbe gani aliporudi SA!! Ama kweli hakuna Rais amerithi madudu ya mtangulizi wake kama Samia, ni vile tu kafundwa kiuongozi na kisiasa hawezi kuropoka hovyo kama alivyokuwa anafanya Bwana yule.
 
Sababu ya kubatilishwa kwa kongomano ilikuwa ipi!???
Walitoa tu kaandiko kongamano halitokuwepo tena, no reason! Maandalizi yote yalikuwa yamefanyika by that time, Jiwe mambo yake alikuwa anajijua mwenyewe
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom