Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wazanzibar Wana msimamo, Maalim alitambua msimamo wa Wazanzibar akasimama nao. Wakaua Cuf lakini Maalim alibaki kuwa Imara. Amendoka Maalim amewaacha Wazanzibar wakiwa na chama kisicho na msimamo...
8 Reactions
9 Replies
1K Views
Halmashauri kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM) Wilaya ya Njombe, haijaridhishwa na uamuzi wa serikali kuwarejesha shule za kawaida baada ya wanafunzi (wazazi) waliopata ujauzito na kujifungua. Imetoa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Bado ninatafakari kwa kina sanaaa OMBI la zitto kabwe kwa Mh Raisi, HIV Zitto kabwe ameisha jua yakuwa Mbowe atafungwa au atashinda au atashinda? Je Mbowe anaombewa msamaha kwa kosa gani? Hiki ni...
0 Reactions
0 Replies
457 Views
Nimetafakari mara nyingi nimekoswa jibu! Kitu kinachonisikitisha ni kwanini serikali inatumia nguvu nyingi sana kuzuia wapinzani wasifanye mikutano yao ya kikatiba??Kama Rais mwenyewe anapokwenda...
8 Reactions
100 Replies
8K Views
Manake mpaka sasa hola! Mlishatuzoesha basi semeni angalau mmekwama lakni sio kuacha tu bila hata kututaarifu!
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kumbe hii Kesi ni ya kitaifa na kimataifa, ukiuliza watu kipi kilichoongelewa kwenye huu mkutano, utaambiwa Ni Mbowe Lakini ukiangalia ajenda za mkutano ajenda ya Mbowe haikuwepo, kulikoni mbona...
6 Reactions
3 Replies
611 Views
watu wanadai kuna kusamehewa kwa Mbowe. hakuna kusamehewa. asamehewe kwani amekosea nini? haki itendeke na ionekane imetendeka. tujue mbivu na mbichi ni zipi. kuepusha hali ya kufunika kombe...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Sijailewa ni vigezo gani vya msingi hutumika kuteuwa hawa wabunge wa viti maalumu lakini kwa sifa ya " Vituko" karibia wote huwa wanafanana. Angalia malumbano ya Polepole na Bulembo ni kama vile...
0 Reactions
0 Replies
708 Views
Kupitia kwa Katibu mkuu John Mnyika, Chadema wamedhibitsha kuwa hawatashiriki mkutano ulioandaliwa na msajiri wa vyama vya siasa. Mnyika ametoa sababu kuwa mkutano huo una ajenda tatu, Mgeni...
48 Reactions
147 Replies
9K Views
Sheria za vyama vya siasa vinahusu vyama vyote lakini ccm ipo juu ya katiba na sheria za nchi Katibu wa ccm na wana ccm wanaruhusiwa kuandamana na kuranda randa kila kona Watu wa vyama mbadala...
1 Reactions
1 Replies
444 Views
"Jaji tutaendelea nae japo hatumwamini, hatumkubali na tunajua amefanya maamuzi yasiyokuwa ya haki. Tunawaomba wananchi muendelee kuja kwa wingi kufuatilia kesi hii ili kuendelea kuwaona Mashahidi...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Naam kuna kakikundi kapo twiter kanaongozwa na binti wa waziri mstaafu profesa wa kijaluo, pia kuna jamaa lingine laitwa MMM na mwingine Ole mtetea na wngineo. Swali la kujiuliza hawa watu...
1 Reactions
5 Replies
908 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, imepokea video sita zilizokuwa kwenye ‘flash disk’ iliyowasilishwa kama ushahidi wa upande wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa...
17 Reactions
73 Replies
7K Views
Salaam Wakuu Yaani mimi siku zote nilijua ACT Wazalendo ni chama cha Upinzani. Nimeshangaa sana.. Kumbe ndo maana Zitto wanadai ni Pandikizi. Vyama vya siasa vikuu vya Upinzani, NCCR-MAGEUZI...
12 Reactions
79 Replies
5K Views
Moja kwa moja kwenye hoja, Hivi ni mwanasiasa gani kutoka Tanzania awe wa CCM au kutoka upinzani, aliyemkosoa Magufuli vikali yaani bila unafiki kipindi Magufuli yupo hai Kama sio Lissu. Lissu...
72 Reactions
154 Replies
9K Views
Ameshatufanya tusahau Sakata la Mbowe, Ugaidi na Makomandoo wake na sasa tujikite zaidi katika Sakata la wana CCM wanaopendana akina Polepole, Nnauye na Bulembo lakini wenye Akili fupi tunafurahia...
6 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukiacha Taarifa za Kuumwa kwa Mh. Magufuli ambapo tulidanganywa Mchana kweupee tena katika Nyumba ya Ibada, katika siku tukufu. Unadhani jengine lipi ambalo Mh. Kassim Majaliwa alilidanganya...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Huwa tunaamini kuwa kuishi kwingi ni kuona mengi. Kwa umri wa ccm masarakani tulutegemea kuwa wavumilivu kwenye mambo ya migogoro. Leo hii Polepole amejitokeza kuikosoa ccm kwa madhambi yao lkn...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Nchi ya Tanzania inaongozwa na sheria na kwa mujibu wa katiba hakuna aliye juu ya sheria.(hii kauli ni ya kishwaini kwani kama ndo hivyo kwa nn wengine wana kinga wengine hatuna?). Msingi wa...
4 Reactions
2 Replies
665 Views
Mheshimiwa Rais awaasa kina chadema kuhusu kutumia vitisho ubabe, kejeli na dharau kwa kushinikiza wayatakayo. Mbowe amevunja sheria anapaswa wajibike kwa mujibu wa sheria mama anashusha nondo
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…