Je, Sheria za kufanya mikutano ya kisiasa na kuzunguka nchi nzima haiwahusu wana CCM?

seedfarm

JF-Expert Member
Feb 9, 2020
260
2,654
Sheria za vyama vya siasa vinahusu vyama vyote lakini ccm ipo juu ya katiba na sheria za nchi

Katibu wa ccm na wana ccm wanaruhusiwa kuandamana na kuranda randa kila kona

Watu wa vyama mbadala au upinzani wanasubiri kudra za Rais

Hata wakati wa JPM yeye ndiye alikuwa Igwe.... Igweeeee

Viongozi ni muhimu kukumbuka kuna alfa na Omega


Leo Igwee yupo wapi?
 
hawa wapuuzi wanajifanya nchi ni milki yao, wanasahau kua hata chama lao linapaswa kuheshim sheria na katiba ya nchi
 
Back
Top Bottom