CHADEMA kususia mkutano wa vyama vya siasa, mkutano umebuma kabla ya kuanza

Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,071
3,992
Kupitia kwa Katibu mkuu John Mnyika, Chadema wamedhibitsha kuwa hawatashiriki mkutano ulioandaliwa na msajiri wa vyama vya siasa.

Mnyika ametoa sababu kuwa mkutano huo una ajenda tatu, Mgeni rasmi kuhutubia, kupiga picha na kufunga mkutano, hakuna nafasi ya vyama vya siasa kuongea.

Kama Chadema haitashiriki mkutano huu ni dhahiri huu mkutano umebuma kabla ya kuanza, Sasa Samia atawahutubia kina Dovutwa, Cheyo, Shibuda na Lipumba
 
Kwani chadema wasipokuepo kuna shida gani. Wao wanaendelea kujidai kama ndio chama kikuu cha upinzani ambapo ukweli kwa sasa sio. Wananchi wamewatosa wana kiti kimoja tu bungeni cha kushinda uchaguzi. Act wana viti vingi kuliko chadema na wala hawajathubutu kusema wao ni chama kikuu cha upinzani.
Hali halisi ilivyo chadema imegeuka kua kampuni ya mtu. Mtu huyo ni freeman haikaeli mbowe.
 
Chadema tunajimbua, kuna watu wanataka ku legitimize utawala wao ili misaada ifunguliwe.
Misaada imefungwa kuanzia lini Chief? Si juzi tu wamechukua more than 1t? Na juzi tena Mwigulu kasaini 7t Misri? WB nao wameamchia 900b mwezi mmoja tu uliopita? Au misaada ipi unazungumzia?
 
Kupitia kwa Katibu mkuu John Mnyika, Chadema wamedhibitsha kuwa hawatashiriki mkutano ulioandaliwa na msajiri wa vyama vya siasa.

Mnyika ametoa sababu kuwa mkutano huo una ajenda tatu, Mgeni rasmi kuhutubia, kupiga picha na kufunga mkutano, hakuna nafasi ya vyama vya siasa kuongea.

Kama Chadema haitashiriki mkutano huu ni dhahiri huu mkutano umebuma kabla ya kuanza, Sasa Samia atawahutubia kina Dovutwa, Cheyo, Shibuda na Lipumba
Safi sana. Kama walitaka ruber stamp meeting intelijensia ya Chadema imewadaka.
 
Kwani chadema wasipokuepo kuna shida gani. Wao wanaendelea kujidai kama ndio chama kikuu cha upinzani ambapo ukweli kwa sasa sio. Wananchi wamewatosa wana kiti kimoja tu bungeni cha kushinda uchaguzi. Act wana viti vingi kuliko chadema na wala hawajathubutu kusema wao ni chama kikuu cha upinzani.
Hali halisi ilivyo chadema imegeuka kua kampuni ya mtu. Mtu huyo ni freeman haikaeli mbowe.
Hehehe hicho kikao wao wafanye sisi hatuna muda nacho.
 
Nani aende kwenye mkutano wa wahuni?Eti mwenyekiti wa upande wa wahuni atakuwepo ili kuzwanga photo. Chadema hatuendi hata kwa kupepesuliwa/kusukumwa na upepo.
 
Back
Top Bottom