Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe amesema hana wasiwasi wowote hata kama atakaa jela miaka 2, 5 au 20 hatoomba msamaha kamwe. Mbowe anasema mwishoni ukweli ni lazima utadhihirika hata kama...
19 Reactions
44 Replies
3K Views
Tumeambiwa wachezaji (13) wa Simba wanaumwa mafua na kukohoa pamoja na vifua posbly ni Covid19 Wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake u20 wamekutikana na Covid19 ni 16 Zitto kabwe amekutwa na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Pole pole baada ya kupigwa Pini na TCRA eti ndo anajua. Safari ya kusema Bado inasafari aise nmeshangaa Sanaa Yani polepole Huyu Huyu? Kudadeki Sasa na Bado ngoja uvuliwe ubunge itabidi uwe kama...
9 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna mambo katika jamii yetu ya kitanzania huwa yananishangaza sana, baadhi ya mambo hayo ni haya: 1.Mtu anakwambia hafuatilii siasa, ila ukifika wakati wa uchaguzi, anaenda kupiga kura! 2.Miaka...
10 Reactions
18 Replies
1K Views
Tena Mwenyekiti Taifa CCM ( Rais Samia ) kama Wasaidizi wako wanakuficha sasa Mimi GENTAMYCINE leo 'nakuchana' Mubashara hapa hapa kuwa kwa 85% unazungukwa na Wanafiki na Maadui zako ambao tayari...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Wanajukwaa salaam! Naomba msaada na muongozo wa namna ya kurudisha file zimepotea wakati napiga window nilisahau zilikuwa kwenye Desktop nikasahau ku copy kwenye Disk hasa Ni vitu vya muhimu Sana...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naibu katibu mkuu wizara ya elimu Prof Carolyne Nombo ameagiza watoto walioacha shule kurudi kwenye masomo na kuwataka maofisa elimu na walimu wakuu kuhakikisha wanasimamia wanafunzi walioacha...
2 Reactions
2 Replies
463 Views
Kwema wakuu? Naingia kwenye hoja moja kwa moja bila kupindisha maneno. Leo tarehe 31/08/2021 bunge la JMT limetoa adhabu ndogo kwa wabunge wawili wa CCM – ndugu Jerry Silaa wa Ukonga na ndugu...
19 Reactions
115 Replies
10K Views
Muda si mrefu mambo yatakuwa yameiva kule CCM ambapo mbivu na mbichi zitakuwa zinaliwa na vigogo watatu ambao ni Wabunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Gwajima na Polepole ni ambao wameshika...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa ibara ya 190 ya rasimu ya Katiba ya JMT iliyoundwa na tume ya Jaji warioba ni kuwa kutakuwa na tume huru. Mwenyekiti, makamu mwenyekiti na wajumbe saba wa tume watakuwa...
4 Reactions
129 Replies
7K Views
Ukimsikiliza huyu bwana pole pole,na ukiangalia hata body language yake,hakika unaweza kusema huyu bwana kuna kitu anatamani kusema lakini aidha dhamira inamsuta,au bado Hana hakika na...
9 Reactions
60 Replies
4K Views
Kichwa Cha habari kinajieleza, rejea Waziri mkuu alipo kuwa Kagera, leo sijui Waziri wa Nini nae kaja kakuta uozo kibao Mimi nashauri watumishi wengi wa serikali ni wabadhilifu. Waondolewe.
0 Reactions
3 Replies
463 Views
Wana JF, Ukisikia nchi kulogwa na aliyeiloga kafa ndio huu mchezo wa kudumaza mambo ya kisayansi na kuzalisha wanasiasa wengi, wanasheria wengi, wahubili wengi kiasi cha kukosa dira ya mpango wa...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Kipindi anaingia Mwinyi sikuwa bado nimezaliwa ila niliskia kwamba aliingizwa kwa kiasi kikubwa na Nyerere aje kutawala huku. Rais Mheshimiwa wa sasa pia anafanya kazi yake vizuri lakini nae...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Kumeibuka kikundi cha watu wanaojiita Digital Master kikiongozwa na mtu anaejiita Saidi Mbondela jijini Daresalaam ambao kazi yao ni kutangaza wana uwezo wa kutengeneza programme katika simu...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni wazi kuwa kwenye siasa vita huanza kama cheche ya moto kwenye msitu wa nyasi kavu. Kuna wapambe(Chawa) na Walinzi hawa hutajirishwa na vita ndani ya taasis. Wakubwa wajifunze minyukano na...
0 Reactions
1 Replies
467 Views
Mikoa yote imekuwa ikifanikiwa sana kuvutia wawekezaji wenyeji wazawa wa maeneo hayo ya Mikoa husika na watanzania wengine Wengi toka Mikoa mingine kuwekeza kwao na pia kuvutia wawekezaji toka nje...
2 Reactions
61 Replies
4K Views
Ndugu wanabodi naomba niwaulize swali la mtazamo tu. Na hii ni kutokana na waswahili wasemao dalili ya mvua ni mawingu, kwamba kutokana na maamuzi ya vikao vya ccm leo ikiwa vitaamua mbunge wa...
1 Reactions
7 Replies
967 Views
Kuna yule mbunge wa Namtumbo mkoa wa Ruvuma ndugu Vita Kawawa ambaye baba yake alilitendea mengi hili taifa tangu enzi za TANU lakini kijana yule hana mbwembwe, majivuno wala kiherehere...
12 Reactions
90 Replies
6K Views
Juzi katika kikao cha Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wadau wa demokrasia iliibuka tafrani kwenye mitandao ya kijamii baada ya kudaiwa kuwa Zito alimuombea Msamaha kwa Rais Mheshimiwa...
11 Reactions
57 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…