Ni vema ikawepo na Kumbukizi ya Komredi Horace Kolimba

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,131
Ni ushauri tu.

Kuna watu wamelifanyia makubwa sana hili taifa pamoja na CCM na Jumuiya zake lakini hawakumbukwi kabisa.

Nimuombe balozi mstaafu komredi Nchimbi atuandalie kumbukizi la Horace Kolimba kadhalika Kumbukizi la Kapteni John Komba.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.

RIP Kolimba

RIP John Komba
 
Jamaa yang hapa pembeni ambae ni Chadema kindaki ndaki, anasema kuwa na Chadema wanajiandaa kutengeneza kumbukizi ya hayati Chacha Wangwe, alieuwawa katika mazingira ya kutatanisha kwa sababu ya kudai demokrasia ya kweli ndani ya chama chake. RIP Chacha Wangwe.
 
Nyie mbuzi kama mnaamini Wangwe aliuwawa kwanini msipeleke ushahidi wenu polisi?
 
Jamaa yang hapa pembeni ambae ni Chadema kindaki ndaki, anasema kuwa na Chadema wanajiandaa kutengeneza kumbukizi ya hayati Chacha Wangwe, alieuwawa katika mazingira ya kutatanisha kwa sababu ya kudai demokrasia ya kweli ndani ya chama chake. RIP Chacha Wangwe.
Ninyi ndiyo mnaokufaga midomo wazi huku komoni inachuruzika mdomoni na makwapani.Unataka kuueleza umma kwamba Wangwe aliuwawa?
 
Ni ushauri tu.

Kuna watu wamelifanyia makubwa sana hili taifa pamoja na CCM na Jumuiya zake lakini hawakumbukwi kabisa.

Nimuombe balozi mstaafu komredi Nchimbi atuandalie kumbukizi la Horace Kolimba kadhalika Kumbukizi la Kapteni John Komba.

Mungu wa mbinguni awabariki nyote.

RIP Kolimba

RIP John Komba
Bila kusahau ya General Imran Kombe na Mtikila
 
Jamaa yang hapa pembeni ambae ni Chadema kindaki ndaki, anasema kuwa na Chadema wanajiandaa kutengeneza kumbukizi ya hayati Chacha Wangwe, alieuwawa katika mazingira ya kutatanisha kwa sababu ya kudai demokrasia ya kweli ndani ya chama chake. RIP Chacha Wangwe.
Mwanamme ukisomwa jicho unakuwa bwabwa na akili zinakuwa kibwabwa bwabwa
 
Naona umewahi fasta fasta kumtetea jamaa mwenye kibunzi alieziba to.bo lako siku ile. Mtoto wa kiume usipende kukimbilia kutetea waume za watu ukadhani utaolewa ww. Jamaa ashaowa, ww utaishia kupakatwa tu kama hivi

images (39).jpeg
 
Back
Top Bottom