Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hajasikika kwa muda mrefu huyu mwanasiasa nguli ambaye wengi humfananisha na Tundu Lissu awapo mbele ya media akiongelea maamuzi mbalimbali ya CHADEMA. Yuko wapi Kamanda Tumaini Makene? Jumaa kareem
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Hizi ni salamu mchanganyiko kutoka vitengo mbali mbali, ikiwemo Bavicha na Chadema Digital, ni salamu za baraka kutoka Chadema kwenda kwa Wananchi wote wapenda haki tu. Hizi ni salamu kwa wale...
15 Reactions
40 Replies
3K Views
Hivi karibuni nilitoa maoni yangu kupitia humu Jamiiforums kuhusu Waziri wa Nishati January Makamba na mienendo yake kuhusu TANESCO. Kama anavyosema Jenerali Ulimwengu yawezekana kweli Tanzania...
32 Reactions
85 Replies
7K Views
Hakuna tamasha Wala mkesha mkuu wa Christmas mwaka huu. Je, umezuiwa au utengamano wa waandaji umetingishwa? Kesho ni Chrissmas, Misa kuu Kitaifa itakuwa na kiongozi wa Kitaifa au ndo tutasali...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwa maana tumepewa mtoto wa mwanamme na uweza wa kifalme utakuwa juu yake naye ataitwa jina lake Emmanuel. Leo inategemewa askofu Gwajima na viongozi wengine wa dini watatembelea gereza la Ukonga...
6 Reactions
48 Replies
4K Views
Naomba kumuuliza Mhe. Zitto kama ameshiriki kuunda hii timu iliyotajwa na Msajili au Msajili Kwa namna alivyoona inafaa ndiye kaja na wajumbe wake? Mwenyekiti wa timu hii kweli tunaamini ni mtu...
7 Reactions
75 Replies
6K Views
Wewe ndiwe Petro na juu ya Mwamba huu nitalijenga Kanisa langu wala milango ya kuzimu haitalishinda. Merry Christmas Freeman Mbowe. Merry Christmas watu wote wenye mapenzi mema Siasani. Mungu...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Jaji Maarufu kimataifa Mhe. Joseph Sinde Warioba ameweka rekodi ya kipekee kwa kuongoza Tume mbili za Rais katika historia ya JMT na katika historia ya Majaji wa Tz. Tume yake ya kwanza ilikuwa ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa viongozi, wanachama na wafuasi wa Chama chetu na Watanzania wote kwa ujumla, PEOPLE'S Naomba nianze kwa kuwapa salamu za msimu huu wa Sikukuu ya Noeli na kuwatakia kila lenye kheri katika...
71 Reactions
192 Replies
19K Views
Hali ya wanaCCM kuogopa kujiita wanaCCM kujiita wanaCCM imerudi tena baada ya baadhi ya wanaCCM kwa makusudi kabisa kuamua kunajisi taswira na jina la CCM mbele ya jamii. Jamii imeanza kupata...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
MAMA ANAUPIGA MWINGI SANA ENEO HILI LA WATUMISHI. Na Thadei Ole Mushi. Serikali imeanza kulipa madeni kwa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) ili Wastaafu wasisumbuke kupata...
1 Reactions
4 Replies
659 Views
Hii dhana kuwa Jeshi linapokuwa na utii ni matokeo ya viongozi wa juu wa Jeshi huwa inanifanya nijiulize kama huo ndio ukweli, mtu kama Samweli Doe aliwezaje kuongoza mapinduzi ya kijeshi akiwa na...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwanza nawatakia sikukuu njema wakristo na watanzania wote kwa ujumla .kuelekea kuadhimisha sherehe ye krismas hapo kesho,Kuna tofauti gani unayoiona Kati ya mwaka huu na Miaka mitano iliyopita...
1 Reactions
1 Replies
727 Views
Katibu wa NEC CCM mzee Lubinga nawe unaingia kwenye mtego ambao Chongolo anataka kuingia bila kujua mnaweza kujinasuaje. Haya masuala kwa nini yawe leo? Hizo shule za wazazi ziliuza miaka mingi...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii ni habari kwa mujibu wa taarifa ya habar ya Azam saa mbili usiku huu. Serikali yashangazwa na uamuzi huo wa Falme za Kiarabu . Habari ndio hio.
0 Reactions
1 Replies
809 Views
Kuna nyuzi nyingi mno humu hasa za mataga zikimshauri Rais Samia asimwachie huru Mbowe. Kosa yote usikose akili, mataga hayajui kuwa Rais haruhusiwi kisheria kuingilia Mahakama, shauri la Mbowe...
54 Reactions
215 Replies
12K Views
Kwangu Ni mawili. -JPM kufa -Mbowe kupewa bogus terrorism charges. Wewe je
4 Reactions
38 Replies
1K Views
Kuna sababu nyingi sana za kuwaambia kua mtakwama sana kukivuruga chama na serikali, sababu kuu ni hizi; 1.Ninyi ni wageni kwenye chama hamjui historia na itikadi za chama nyie. 2.Mmejaa visasi...
10 Reactions
38 Replies
2K Views
Katiba ni mali ya wananchi. Jitihada za kutufikisha kuliko haki haziwezi kufanyikia gizani. Hii mambo ya kina TCD na kina Zitto haziwasimamishi wasioridhika nazo kuchukua mwelekeo mwingine...
10 Reactions
35 Replies
3K Views
CCM Ina wazee wa Chama kibao waliofanya makubwa nchi hii lakini wengi wa watoto wao hawana political future wakiwemo akina Nape ,fatuma karume akina Makamba ,Makongoro Nyerere,Ridhiwani Kikwete Nk...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…