Mjumbe wa Baraza Kuu UWT Taifa Nafasi Tano Tanzania Bara Ndugu Dkt. Lucy Mwanisawa leo ametembelea Shule ya Sekondari Tawheed iliyopo Sumbawanga Mkoani Rukwa na kutoa Juzuu 100 na Fedha Tasilimu...
Nimewaza sana. Katika marais waliofuata nani angeruhusu mkewe au mtoto wake ashiriki kwenye vita kwa njia moja au nyingine?
Hamna. Wanashirikiana mke na watoto/ mtoto na baba yao kutuibia mali...
Ili Tanzania isonge mbele inabidi kutokee namna fulani vyama vyote vya siasa vifutwe na wanasiasa waliopo sahivi wote kwa ujumla wao wazuie kujihusisha na siasa wala kuteuliwa ama kuchaguliwa...
Kwa muda mrefu nimekuwa ni adui wa kauli na utendaji usiofata misingi wa Nape Nnauye. Kauli zake Mara nyingi zinaonesha ni mtu anayejisikia, mtu ambaye anaamini kwamba bila yeye CCM haiwezi...
Katika biashara yeyote ushindani ndiyo kitu muhimu na matokeo yake kila mshindani anajitahidi kutangaza bidhaa/huduma yake na kwa ubora unaotakiwa. Miaka mitano iliyopita kulikuwa na ushindani...
Dkt. Akandunduma anasema kibaiolojia kuna watu wanazaliwa wakiwa na roho ya ushawishi ndani yao ( God gifted) na huyo ndio Freeman Mbowe anayemjua.
Dkt. Akandunduma anasema fikiria huyu Mbowe...
Kampasi ya Chuo cha Utumishi wa Umma tawi la kanda ya ziwa kitajengwa wilayani Chato, amethibitisha waziri wa utumishi wa umma George Mkuchika.
Kwa mujibu wa Mkuchika ni kuwa amejiridhisha kuwa...
Siku zote msamaha anaombwa aliyekosewa.
Kwa kila mwenye akili, mkweli wa nafsi, anayemtumikia Mungu wa kweli, na mwenye Roho wa Mungu, hawezi kusita wala kuwa na kigugumizi kutamka kuwa Mh. Mbowe...
Mojawapo ya sifa za msingi za uzalendo ni kuziishi mila na desturi za ama nchi yako au chama chako au kikundi chako chochote unachoamini katika falsafa na maslahi yake. Wafuatao ni makada nguli wa...
Katika maisha huwa kuna mambo yaliyowahi kukukera kuliko yote, mambo yaliyowahi kukusikitisha kuliko yote, na pia huwa yapo yaliyowahi kukufurahisha au kukupa faraja kuliko yote.
Vyovyote iwavyo...
Hapo zamani, enzi za akina Jaji Nyalali, Augustino Ramadhani, Rugakingira, Jaji Warioba, ukisikia jaji anasema kitu, unakaa chini ili usikie anasema nini. Kama ni gazeti, lazima utanunua ili ujue...
Bandugu nawasabh nikitokea Mutukula,hapa mpakani mwa Tanzania na Uganda.
Wenyeji wa hapa hawapendi kupaita Uganda wanapaita Yuganda, ukifika hapa Kuna mutukula ya Magufuli na Mutukula ya Mseveni...
Kwasababu malipo ni hapa hapa duniani, basi hilo litakuja kutimia huku Mama akishuhudia na wakati huo akiwa hana tena Mamlaka na nguvu alizonazo leo hii.
Kama si Mama, basi ni wale walio nyuma ya...
Katika Hali ya kushangaza Askari polisi ,Meshack Laizer aliyepandishwa cheo Na IGP Simon Siro Disemba 22,2019 jiji Arusha Kwa kukataa Rushwa ya sh,milioni kumi ,amevuliwa vyeo vyote rasimi baada...
Miaka kadhaaa iliyopita na Sasa ni miezi kadhaaa, alimashauri ya Sengerema, ilikuwa ikipata pesa na kuzikopesha kupitia chama Cha ushirika wa Akiba na Mikopo Uzinza Saccos kilichopo hapo Sengerema...
Tumeendelea kuwa na viongozi wengi ambao wao wakiona unakinzana na maoni au maslahi Yao wapo tayari kutumia mbinu zozote aidha wakuondoe au wakufanye unyamaze. Wao kwao siyo Kila uhai ni wa...
Huu mwaka haukuwa mzuri sana kwa taifa letu maana tumepoteza ndugu na viongozi wetu. Wengine baada ya kuondoka na kuaga dunia yameibuka mambo mengi.
Sasa kila mtanzania anayepinga ufisadi na...
Hajasikika kwa muda mrefu huyu mwanasiasa nguli ambaye wengi humfananisha na Tundu Lissu awapo mbele ya media akiongelea maamuzi mbalimbali ya CHADEMA.
Yuko wapi Kamanda Tumaini Makene?
Jumaa kareem
Hizi ni salamu mchanganyiko kutoka vitengo mbali mbali, ikiwemo Bavicha na Chadema Digital, ni salamu za baraka kutoka Chadema kwenda kwa Wananchi wote wapenda haki tu.
Hizi ni salamu kwa wale...
Hivi karibuni nilitoa maoni yangu kupitia humu Jamiiforums kuhusu Waziri wa Nishati January Makamba na mienendo yake kuhusu TANESCO.
Kama anavyosema Jenerali Ulimwengu yawezekana kweli Tanzania...