CHADEMA, Zitto siyo adui yenu

NTIGAHELA

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
362
254
As much as sikubaliani na msimamo wa ACT katika mambo kadha wa kadha lakini sikubaliani na viongozi wa CHADEMA kumshabulia mkuu wa chama cha ACT ndugu Zitto Zuberi Kabwe. Ndugu Zitto kaufanyia upinzani mambo makubwa, Yeye ndiyo aliyekuwa nguzo kuu ya upinzani iliyobaki kutusemea wananchi kuanzia mwaka 2017 hadi 2019 wakati huo viongozi wa CHADEMA wakiwa hospitali au wakiwa Jela. Zitto alisimama kidete kuwatetea baadhi yao walipotajwa kwenye kashfa kubwakubwa, na alionyesha utu mkubwa kuwatembelea badhi yao hospitali na hata huko jela kuwafariji.
Katika uchaguzi mkuu wa 2020, Zitto alifikia hatua ya kusacrifice kutomnadi mgombea urais wa chama chake mwenyewe ACT ndugu Membe ili tu kumpa nafasi Tundu Lissu aweze kufanya vizuri katika uchaguzi huo. Nilitegemea viongozi wa CHADEMA angalau wawe na humility wanapomuaddress Zitto, wasiwe arrogant kudhani kuwa Legitimacy yake itatokana na namna gani yeye ataendelea kuunga tela katika kila approach wanayokwenda nayo.
Zitto anaweza kuwa hayuko CHADEMA, lakini anamjua vizuri Mbowe na pengine anamjali zaidi Mbowe kuliko wengi huko CHADEMA wanaojifanya kumlilia sana Mbowe hata kushushua wenzao heshima!. Zitto na Mbowe wametoka mbali, hawakukutana barabarani!.
CHADEMA wasipende kujifanya ni watu wa misimamo wasiokosea.
1. Kabla ya mwaka 2015 wamewahi kuandaa list ya mafisadi na wakamtaja mheshimiwa fulani kuwa ni fisadi, mbona baadae walimpa mtu huyohuyo nafasi ya kupeperusha bendera ya chama hicho kuwania urais wa nchi hii? - Kwa hiyo ina maana CHADEMa walitaka kuikabidhi nchi hii hata kwa Fisadi ilimradi tu washike dola?

2. Mwaka Jana mbona wao CHADEMA na kamati kuu nzima walipanda ndege kwenda kuomba maridhiano na JPM, na kwani kile alichoongea Zitto jana mbele ya mheshimiwa rais SSH kina tofauti gani in principle na kilichozungumzwa na Mbowe pale Kirumba Stadium?

Watu wa CHADEMA wamekosa hoja dhidi ya Zitto wanaanza sasa kushambulia eti namna alivyodeliver speech yake, huko ni kuargue semantics, siyo kuargue points. Zitto hahitaji kuongea kama Mdude Nyagali mbele ya rais ili tu kuonyesha kwamba ana hasira sana. Cha msingi ujumbe umefika na umeeleweka, na kama CHADEMA wanahisi Zitto kakosea namna ya kudeliver basi wangeenda wao wakadeliver wenyewe.

Pia niwaombe wanachama wa CHADEMA wamwambie makamo wao pindi akifanya mijadala na watu mitandaoni aache kutumia maneno ya kutweza watu kama vile "hii hoja yako ni ya kijinga", kwa sababu na watu nao wana maneno ya shombo wakiamua wanaweza kumgeuzia kibao na yeye wakaanza kuziita "hoja zake ni za kijinga" halafu moderators wakaanza kublock au kumute watu, Tuwe na humility!

Mimi napenda siasa za hoja siyo za kushambuliana, Nataka nione points siyo ad-hominem Attacks

Japo Sikubaliani na approach ya ACT ya namna ya kudai demokrasia nchini, Lakini Jana ndugu Zitto kaupiga Mwingi, kanikosha sana jinsi alivyokuwa akijibu hoja za wanachadema na viongozi wao waliokuwa wakimshambulia mno kule kwenye mtandao wa Clubhouse.
 
Naunga mkono hoja
P
 
Zitto na Mbowe wametoka mbali sana. Nakumbuka zitto aliulizwa na mwandishi ni wanasiasa gani anaowakubali zaidi tz? Alimtaja Mbowe na Maalim Seif.
 
Hicho ndicho nilichokiona, Cdm huweka kinyongo na mwanachama wao yoyote anayegombea nafasi ya uenyekiti na Mbowe. Atatukanwa na kudhihakiwa hadharani. Approach wanayotumia kujibu hoja hasa zile kali,kuhoji au zenye kukosoa kwa kumtoa thamani' (kum-degrade muulizaji)mkosoaji) au kupeleka madai kwa kulazimisha pia ndio inayowaingiza matatizoni kisheria. Kuna haja ya kuingiza viongozi wapya.
 
Ukiwaweka Zitto, Slaa na Mdee halafu ukawapa Makamanda Risasi tatu wawadungue…zote watampiga Zitto

Ila Zitto anawajua sana Chadema halaf anajua namna ya kuwachokonoa na wao wanachokonoleka vyema…ndio raha ya Siasa
 
Zitto akome kuwashwa washwa na ya CHADEMA. Hatukumtuma anasumbuliwa na unafiki wake tu.
 
Ukiwaweka Zitto, Slaa na Mdee halafu ukawapa Makamanda Risasi tatu wawadungue…zote watampiga Zitto

Ila Zitto anawajua sana Chadema halaf anajua namna ya kuwachokonoa na wao wanachokonoleka vyema…ndio raha ya Siasa
Wauaji mnawaza kupiga risasi tu.
Hapana Zitto anajua sana unafiki na MaCCM mlivyo wanafiki mkamnunua kutoka CHADEMA na mkampa CCM ya zambarau kwa kazi moja. Kufitini upinzani.
Zitto atusumbui tumemlea, tunamjua sana mpaka makaburi ya kwao BURUNDI.
 
Zitto, Mrema, Lipumba ni wanasiasa ambao hawaaminiki na ndiyo maana watanzania wengi wanaona chama pekee chenye msimamo usiyoyumba ni CHADEMA tu, yaani ni nafuu ya Mbatia kuna kuna huwa anaeleweka lakini si mara zote.

Sasa unapokuwa na kiongozi wa chama haaminiki misimamo yake ndugu una chama humo? na tuseme ukweli tu kwamba threat ya CCM kwa sasa ni CDM , hivi vyama vhingine just making numbers.
 
Shule za Kata utajuaje issue ya usanifu wa Lugha?

Zitto anawanyima raha sana na kama ingekuwa uamuzi wenu ndio una determine mustakbali wake sasa hivi kaburini kwake tungekuwa tunachuma visamvu mpira

Hakuna mwenye tatizo na Zito kwa namna mleta mada ulivyowasilisha. Kama ni ushindani basi ni huuhuu wa kisiasa. Watu wamekuwa wakali kwa Zito kutaka kumuombea msamaha Mbowe wakati hana kosa. Na kilichomfanya Zito amuombe msamaha wa kinafiki Mbowe, ni ili kuhalalisha ushiriki wake kwenye huo mkutano cdm waliosusia. Mbowe ni lazima ataachiwa maana hana kosa bali ni kesi ya siasa za kipuuzi. Hivyo Zito asitafute point za mezani kuwa Mbowe katoka baada ya yeye kumuombea msamaha.

Huo mkutano ni furahisha genge na ndio maana hakuna anayejuadili kwa sana, zaidi ya huo msamaha wa Mbowe. Tuna uzoefu na mikutano ya hivyo, lengo ni kuhadaa umma kuwa kuna maelewano lakini utekelezaji ni sifuri. Kwakuwa CCM bado haina ushawishi, na CDM ina uwezekano wa kuendelea kupata kura kwa wingi, jambo hilo CCM hawakubaliani nalo, kwanza kwa kuona aibu ya kushindwa na CDM, na pili ni hofu yao kuwa CDM wakichukua nchi watawalipizia kisasi. Hivyo hayo mazungumzo yatakuwa ni sehemu ya kuanika hasira tu, lakini sitegemei utekelezaji wa hayo makubaliano kwa CCM hii iliyopoteza ushawishi.
 
Zitto anampenda sana Mbowe na ndiyo maana akampangia kikundi cha kina Kitila ili ampindue kwenye uenyekiti kwa kumchafua.

Zitto anampenda sana Mbowe na ndiyo maana mwaka 2010 wabunge wote wa CDM walipotoka bungeni ili kupinga hotuba ya rais, Zitto alibaki peke yake ili kumuunga mkono Mbowe.

Zitto anampenda sana Mbowe na ndiyo maana wakati anafukuzwa CDM alikuwa anatoa kauli za kuusisha CDM na mauaji, kwa mfano "Chacha died I won't"

Zitto anampenda sana Mbowe na ndiyo maana mara nyingi amekuwa akitumia maumivu ya Mbowe kama ngazi ya kushamiri kisiasa. Mfano juzi.

ZITTO ANAMJUA VIZURI SANA NA KUMJALI MBOWE.

Wewe ni takataka na hoja zako ni za kijinga.

Hakuna maneno mazuri kwako zaidi ya hayo.
 
Naunga mkono hoja
P
Mkuu P,
Mtu anayesamehewa au kuombewa msamaha Ni yule aliekosa, akajitambua kuwa kafanya na kukiri makosa Hayo.

Zitti ndipo alipokosea hapo. Unapomwombea msamaha Mbowe, maana yake unaadmit kuwa kafanya kosa na anajutia kosa lake.

Mara zote Zitto anapokuwa mzungumzaji mbele ya Watawala anakuwa mnafiki Sana. Nimekumbuka unafiki kwenye ziara ya Magufuli kigoma.
 
Shule za Kata utajuaje issue ya usanifu wa Lugha?

Zitto anawanyima raha sana na kama ingekuwa uamuzi wenu ndio una determine mustakbali wake sasa hivi kaburini kwake tungekuwa tunachuma visamvu mpira

Ni kweli kabisa CDM hatumtaki Zito, na hasa hapa anapofanya siasa za kutaka kusifiwa na CCM at the expense of CDM. Ni kama hii chuki waliyonayo CCM dhidi ya CDM baada ya kuona mapenzi ya watanzania wengi yako kwa CDM. Ndio maana unaona chaguzi za kishenzi, kihayawani na kikatili, sababu hasa ni CCM kuzidiwa na CDM. Sasa tunapoona agent wa CCM anakuja kupoteza watu maboya, hatuna mswalia mtume na muhuni wa hivyo.
 
hii michadema mibichwa nazi ni ovyoooo sana maana wanataka afungwe ili wengine wale ruzuku, psychopath creatures
 
Mlifata nini kwny kikao cha TCD ambacho mnajua Zitto ni mwenyekiti na mlipeleka makabrasha kwa Mangula kwa kasababu gani?
Ni kweli kabisa CDM hatumtaki Zito, na hasa hapa anapofanya siasa za kutaka kusifiwa na CCM at the expense of CDM. Ni kama hii chuki waliyonayo CCM dhidi ya CDM baada ya kuona mapenzi ya watanzania wengi yako kwa CDM. Ndio maana unaona chaguzi za kishenzi, kihayawani na kikatili, sababu hasa ni CCM kuzidiwa na CDM. Sasa tunapoona agent wa CCM anakuja kupoteza watu maboya, hatuna mswalia mtume na muhuni wa hivyo.
 
Zitto, Mrema, Lipumba ni wanasiasa ambao hawaaminiki na ndiyo maana watanzania wengi wanaona chama pekee chenye msimamo usiyoyumba ni CHADEMA tu, yaani ni nafuu ya Mbatia kuna kuna huwa anaeleweka lakini si mara zote.

Sasa unapokuwa na kiongozi wa chama haaminiki misimamo yake ndugu una chama humo? na tuseme ukweli tu kwamba threat ya CCM kwa sasa ni CDM , hivi vyama vhingine just making numbers.
Nyie si ndo wale mliomuweka lowassa kugombea kiti
 
Shule za Kata utajuaje issue ya usanifu wa Lugha?

Zitto anawanyima raha sana na kama ingekuwa uamuzi wenu ndio una determine mustakbali wake sasa hivi kaburini kwake tungekuwa tunachuma visamvu mpira
Upo sahii kabisa. Shule za kata ni laana ya kuwa na CCM na MaCCM kama wewe, na ni kweli kabisa CCM imetunyima Elimu.. MaCCM na CCM ni LAANAKUM katika nchi.
 
Back
Top Bottom