Rais Samia, Mbowe amekukosea nini?

Rais Samia, Mbowe amekukosea nini?

Nilimsikiliza rais kwenye lile kongamano na wanasiasa juzi kilichonishangaza ni rais kusema amesamehe je alikosewa nini na nani? Na pili alipomtaka mbowe kutii sheria je mbowe alikosea kitu gani?
Naomba msaada.
Ni kutokujiamini tu.Aliona akikaa kimya watamzoea.Akaona atoe mfano kwa kumtupa mtu msambweni aka lupango.Lakini hakuwa na maandalizi ya kumkinga asionekane muoneaji.Matokeo yake ndiyo hayo ya kumpanga Zitto ajidai anamuombea mtu huruma.Another day in paradise!😝😝😝😝😝
 
Mods futeni hii mada au iunganisheni kwenye nyuzi zingine, sio lazima kila mtu alete mada hapa. Mada kama hizi zimetolewa nyuzi lukuki na wala hazina maana yoyote. Naomba ifutwe au ziunganishwe kwenye mada zingine zilizotangulia. JF imekuwa sehemu ya watu kutolea stress, yaan amekurupuka lindoni anaweka tu mada. Kwann hamtafuti mada kabla ya kuzipost??
RUBISH
 
Hujalazimishwa kuifungua na kuisoma. Usituletee stress zako hapa

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mods futeni hii mada au iunganisheni kwenye nyuzi zingine, sio lazima kila mtu alete mada hapa. Mada kama hizi zimetolewa nyuzi lukuki na wala hazina maana yoyote. Naomba ifutwe au ziunganishwe kwenye mada zingine zilizotangulia. JF imekuwa sehemu ya watu kutolea stress, yaan amekurupuka lindoni anaweka tu mada. Kwann hamtafuti mada kabla ya kuzipost??
RUBISH
Mjumbe vipi, umeanza vizuri kuto ushauri, ila ulipoanza kusema mtu katoka lindo na stress, unatia shaka kama wewe ndio mwenye stress sasa unashambulia watu humu.
 
Mods futeni hii mada au iunganisheni kwenye nyuzi zingine, sio lazima kila mtu alete mada hapa. Mada kama hizi zimetolewa nyuzi lukuki na wala hazina maana yoyote. Naomba ifutwe au ziunganishwe kwenye mada zingine zilizotangulia. JF imekuwa sehemu ya watu kutolea stress, yaan amekurupuka lindoni anaweka tu mada. Kwann hamtafuti mada kabla ya kuzipost??
RUBISH
Wewe na dada yako mmewapiga vita ndugu wa damu wa shemeji yako na kumroga hadi akawafukuza bila huruma. Sasa mmebakia pekee yenu umebaki kuning'iniza poumbou hapo sofani sebuleni ukicoment utopolo humu jamvini.
 
kosa la mbowe ni kudai katiba mpya, huyu mama urais wa kuotea umemvimbisha kiasi cha kujiona yeye ndo mmiliki wa tanzania.
 
Mwalimu Nyerere aliliona hilo.Na alitahadharisha iwapo atatokea Rais mwenye "akili" nyingi atatuonesha cha mtema kuni.Lakini tukumbuke tu,kichwa kikiwa kikubwa sana inakuwa ni ulemavu.Hospitali itahusika kwa oparesheni.
 
Ni kutokujiamini tu.Aliona akikaa kimya watamzoea.Akaona atoe mfano kwa kumtupa mtu msambweni aka lupango.Lakini hakuwa na maandalizi ya kumkinga asionekane muoneaji.Matokeo yake ndiyo hayo ya kumpanga Zitto ajidai anamuombea mtu huruma.Another day in paradise!😝😝😝😝😝
Zito ni mzandiki sana,ana unafiki uliopitiliza kiwango ,yaani anakula,kunywa na kushiba kwa maumivu ya wenzake,Hapo ujue ashapiga chale tayali
 
Bwana ZZK aka Zana Za Kilimo-Mbeya.Huwa anafanya siasa "kispoti" sana.Yaani usanii mwingii!😂😂😂😂
 
Nilimsikiliza rais kwenye lile kongamano na wanasiasa juzi kilichonishangaza ni rais kusema amesamehe je alikosewa nini na nani? Na pili alipomtaka mbowe kutii sheria je mbowe alikosea kitu gani?

Naomba msaada.
Huyu mama anahitaji msaada wa kisaikolojia, hajui kinachovutia ni kitu gani, sio presidential material
 
Nilimsikiliza rais kwenye lile kongamano na wanasiasa juzi kilichonishangaza ni rais kusema amesamehe je alikosewa nini na nani? Na pili alipomtaka mbowe kutii sheria je mbowe alikosea kitu gani?

Naomba msaada.
Inashangaza sana Kesi ya Mbowe iliandaliwa na Sabaya na Mamlaka za juu toka 2020 lakini leo anaonekana kamkosea Mama Samia Ukweli inasikitisha na Kuumiza sana
 
Mwalimu Nyerere aliliona hilo.Na alitahadharisha iwapo atatokea Rais mwenye "akili" nyingi atatuonesha cha mtema kuni.Lakini tukumbuke tu,kichwa kikiwa kikubwa sana inakuwa ni ulemavu.Hospitali itahusika kwa oparesheni.
lile bichwa litakua limesheheni za kufungia ushungi.
 
Mama walimtuma wanamtuma Tena atengeneze mchongo Tena duniani na dunia itashanga unamsamehe gaidi
 
Back
Top Bottom