Jaji wa michongo VS Shahidi wa hisia, Nani mkali?

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,050
4,904
Week kadhaa wakati shauri dogo lililomhusu Mohamed Lingw'enya likiendeshwa mahakamani, Shahidi Mchome aliweka bayana mahakamani kuwa Kuna majaji wa michongo!

Leo jaji Tiganga kaja kwa mfumo wa kujibu mapigo akimwita shahidi huyo kuwa ni Shahidi wa Hisia

"Na Juu ya maslahi kwamba ni shahidi mwenye maslahi, Ni kweli amesema kwamba amekuwa haridhiki kuanzia Kesi mpaka Kwa Jaji mwenyewe. Mahakama inaona yeye ni Shahidi wa hisia ambaye amekuja mahakamani kutoa hisia zake"

Sasa, jaji wa michongo na shahidi wa Hisia , nani mkali??
 
Week kadhaa wakati shauri dogo lililomhusu Mohamed Lingw'enya likiendeshwa mahakamani, Shahidi Mchome aliweka bayana mahakamani kuwa Kuna majaji wa michongo!

Leo jaji Tiganga kaja kwa mfumo wa kujibu mapigo akimwita shahidi huyo kuwa ni Shahidi wa Hisia

"Na Juu ya maslahi kwamba ni shahidi mwenye maslahi, Ni kweli amesema kwamba amekuwa haridhiki kuanzia Kesi mpaka Kwa Jaji mwenyewe.... Mahakama inaona yeye ni Shahidi wa hisia ambaye amekuja mahakamani kutoa hisia zake"

Huyu Jaji ni hewa kabisa
 
Haioni kama mahakama haiaminiki tena na jamii
Mimi binafsi huwa naona kufikishana mahakamani ni kupoteza muda tu, Kuna tajiri mmoja hala Dsm alinidhurum zaidi ya million 2.5, fedha nlizokuwa natarajia kwenda kulipa ada, tukapelekana mahakamani ukonga pale, but toka 2018 mpaka leo sijawah pata hata Mia!!

Mahakimu na majaji binafsi Sina iman nao, Wala sioni Kama mahakama ni mahala pa kupatia haki isipokua kupotosha haki
 
Pole sana kiongozi.....Ni kheri kama utaweza ukaisamehe tu iyo hela na kufanya mambo mengine kuliko kupoteza muda wako,Mungu atajakulipa haki ya mtu kwa mungu haipotei kabisa
 
Week kadhaa wakati shauri dogo lililomhusu Mohamed Lingw'enya likiendeshwa mahakamani, Shahidi Mchome aliweka bayana mahakamani kuwa Kuna majaji wa michongo!

Leo jaji Tiganga kaja kwa mfumo wa kujibu mapigo akimwita shahidi huyo kuwa ni Shahidi wa Hisia

"Na Juu ya maslahi kwamba ni shahidi mwenye maslahi, Ni kweli amesema kwamba amekuwa haridhiki kuanzia Kesi mpaka Kwa Jaji mwenyewe.... Mahakama inaona yeye ni Shahidi wa hisia ambaye amekuja mahakamani kutoa hisia zake"

Sasa, jaji wa michongo na shahidi wa Hisia , nani mkali??
Jambo jema ni kwamba jaji wa mchongo ujumbe aliupata live ndio maana amelipa kisasi kwa hukumu yake.
 
Back
Top Bottom