Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,842
- 50,556
Dickson Matata Mwanasheria wa CHADEMA na mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya magharibi, kanda inayojumuisha mikoa ya Katavi, Kigoma na Tabora amesema kuwa CHADEMA itawashtaki wanaojifanya wanachama wa chama hicho wakati sio.
Pia amesema atamshauri Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuwafungulia mashitaka wote wanaomchafua.
Pia amesema atamshauri Makamo Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuwafungulia mashitaka wote wanaomchafua.