Tumi Lambo
Member
- Oct 21, 2021
- 63
- 27
Soma post vizuri kabla hujajijbu hoja, kama mtu anayejua anachoema. Kila nchi inahitaji wawekezaji, lakini lazima tuwe waangalifu na kutunza uhuru wetu kama post inavyosema, tusipokuwa makini watarudi kama wawekezaji. Angalia Zambia na Kenya na hatihati za kupoteza haki za baadhi ya miundo mbinu yao. Kama mkataba wa Bandari ya Bagamoyo uliofichuliwa na Hayati shujaa Magufuli.
Ni ujumbe toka 1967 unaotuathiri leo bila viongozi kujali sababu wanafaidika zaidi na mikataba ya wawekezaji utafikiri ni yao binafsi, ni sawa na machifu wetu waliouza ardhi yetu miaka ya ukoloni wa zamani.