samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,212
Mh rais wangu mpendwa JPM, John Pombe Magufuli huu si muda tena wa sheria na demokrasia.Mh rais taifa limeshapotea kila mahali, maadili hamna tena, watu wema ni wachache sana, watanzania wanawaza wizi na maisha ya peponi bila jasho kwa kifupi taifa limeshapinda.
Mh rais ili mambo yakae sawa na kutimiza ndoto zako za kuwa baba wa taifa na kukumbukwa na kizazi hadi kizai huhitaji kutawala tena taifa hili kwa kufuata sheria, katiba na demokrasia, ubabe na ukatili ndio njia pekee ya kulikomboa taifa hili..Kuwatesa kwenye majela ya mateso ndio njia pekee ya kulikomboa taifa hili lililojaa wapumbavu.
Busara haziwezi tena kuongoza taifa hili.