Ukimwona anavyozungumzia mambo ya wananchi humwoni kama ana utu na huruma. Mimi namfahamu shangazi yangu ambaye ameweka umeme kwa tsh 27,000 na majirani zake wengi. Mwaka jana mwezi wa kwanza...
FRIDAY OCTOBER 22 2021
Dodoma. Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC), imesema deni la Sh45 bilioni inayodaiwa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga na Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma...
Katibu mkuu wa wizara ya fedha Emmanuel Tutuba amesema serikali imeipa PSSSF kiasi cha tsh trillion 2.
Naye Mkurugenzi mkuu wa PSSSF Hosea Kashimba amesema kuanzia sasa wastaafu wote watalipwa...
Wenyewe wanasemaje?
Habari za leo Friends of Bukoba.
Hii hapa ni video ya watetezi wa Mkoa wa Kagera zidi ya hujuma za Mkoa wa Chato.
Tunawashukuru wote walioshiriki ikiwa ni pamoja na:
(1)...
Toka mama aingie Madarakani kumekuwa na ukosowaji mwingi na Zaid toka Kwa CCM BARA
Tunawaambia mkitaka msitake MITANO tena Kwa Mama sababu
# Mama kazuia TRA kufungia Maduka wanao wadai Kodi
#...
Huyu ni DC na kada wa CCM ambaye pia katabia ka ufisadi amekuwa nacho tangu akiwa chuoni pale mzumbe nakumbuka alivyokula pesa za serikali ya wanafunzi (MUSO) akiwa kama Vice President. Jamaa huyu...
CAG kimsingi amekubali kukagua fedha za mikopo iliyoingiwa na serikali ya Awamu ya 5.
CAG Kichere amesha sema anasubiri maelekezo tu.
Kutokana na mijadala, hata humu JF, kuna watu wamepanic...
Kila kona ya nchi yetu mjadala ni mmoja tu yaani Spika Ndugai na mikopo.
Je, ndio kusema Ndugai amekuwa maarufu kiasi cha Chadema kumsahau Mbowe na Sukuma gang kumsahau Ole sabaya?
Nawaambia CCM!
KKumlazimisha spika wa bunge aachie ngazi kisa tu aliwaza tofauti na Rais ni kuichimbia kaburi demokrasia katika taifa letu! Rais Samia ataingia kwenye record mbaya mno kuwahi...
Nchi yetu y a Tanzania imepitia changamoto nyingi sana tangu uvamizi wa kikoloni karne 19 , wapo watu katika watanzania wenzetu walipoteza maisha yao na wengine kupata ulemavu wakipinga dhuluma na...
Kuna watu siku za karibuni wamesahau kuwa bunge ni mhimili na Mh. Job Ndugai ndiye aliye mkuu.
Hali hizi hazina afya hata kidogo:
Huku ni zaidi ya kutaka kumchezea sharubu chui aliyejeruhiwa...
Matunda ya Uongozi wa Rais SSH yaanza kuonekana kutokana na ukuaji wa Uchumi.
Hongera Sana Mama juhudi zako zimeanza kuzaa matunda,Watanzania tutegemee Neema zaidi kwa miaka ijayo
Spika wa Bunge Job Ndugai amewaasa wabunge kuchangia kwa uwazi bila kuogopa mpango wa bajeti wa mwaka 2021/2022 na sio kusubiri serikali ifeli kisha walaumu.
Spika amesema kwa mfano Taarifa ya...
Kaondolewa yule wa Mahesabu akachomekwa mwengine ilifuatwa Katiba ?
Sasa hata huyu Ndugai anaweza kuondolewa bila ya kufuatwa Katiba, Kwa Sasa Raisi ndio Mkuu wa Nchi hivyo any time anaweza...
Habari!
Naomba majibu mafupimafupi.
Kwanini viongozi wa Kiafrika huwa ni wagumu kuachia ngazi zao kwa hiari pasi kushinikizwa?
Kiongozi wa Kiafrika akijiuzulu basi ni dhahiri shahiri kuwa hana...
Hili suala Wala haliitaji mjadala kama uliita vyombo vya habari ukaomba msamaha kuwa umekosa unaombwa usamehewe, reaction yake Leo mama ilikuwa ni kusema amekusamehe ila mama kukaa kimya na...
Mh Lema pale bungeni alisema kuwa wabunge wa ccm wanawabagua wabunge wa upinzani kwakuwa wapo wachache bungeni.
Akawaonya kuwa wakisha wamaliza wapinzani watageukiana wao kwa wao na ndiyo itakuwa...
Ndugai hajawahi kuwa na uroho wa urais pamoja na mapungufu yote aliyonayo.
Kuna mawaziri wawili wanautamani sana urais, hao ndio mama na CCM kwa ujumla inabidi iwaangalie kwa jicho la tatu.
Yuda...
Si zamani sana ilikuwa kila kona unaona bendera ya CCM inapepea na wanachama wa Chama hiki Cha CCM wametapakaa na utawajua kwa mashati yao yenye nembo za CCM na wavaa khanga nao umanjano na...
Kuongoza ni kuweka ukweli mbele. Ni kukumbatia na 'kushare' haki kwa unaowaongoza. Ni kufuata taratibu zilizopo huku ukitanguliza maslahi ya unaowaongoza, haki zao na wajibu wao. Kuongoza si...