Kulikoni, mbona CCM na Jaji Mtungi wanataka Tume Huru ya Uchaguzi?

Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,055
3,966
Sahivi bado najiuliza maswali lakini sipati jibu, uchaguzi wa 2015 Jaji Lubuva alisema tume ni huru na haiingiliwi na mtu .

Mwaka Jana Kina Mahela na Jaji Kaijage waliuaminisha umma kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki na tume ni huru.

Mwenyekiti wa tume iliyoundwa na Jaji Mtungi, professor Mkandara alisema uchaguzi ulikuwa huru na haki, Sasa sahivi wanapata wapi keherehere Cha kutaka tume huru ya uchaguzi?

Je kukiwa na tume huru, uku Raisi anacontrol Polisi,Tiss, Tamisemi na matokeo ya uraisi hayawezi pingwa popote je Kuna umuhimu wa kuwa na tume huru.

Chadema ni giant political party, kususia huo mchakato, nini hatima ya hiyo tume,, je vyama vya makaratasi na maflash kuwa wajumbe wa hiyo tume, kutawafanya watanzania wawe na Imani na iyo tume? CCM kipi kinawafanya mbadilishe tume Leo wakati kila siku mnasema tume ya Sasa ni huru .

Karibu
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
13,872
52,218
Hamna kitu hapo, wanataka kutengeneza geresha kwa kuwatumia vibaraka wao wajumbe wa hiyo timu iliyoundwa.

Pale yupo anaefurahia zaidi kupata viti vya ubunge kuliko chama chake kushinda uchaguzi mkuu wa Rais, kwake ruzuku ndio kila kitu.
 
Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,055
3,966
Hamna kitu hapo, wanataka kutengeneza geresha kwa kuwatumia vibaraka wao wajumbe wa hiyo timu iliyoundwa.

Pale yupo anaefurahia zaidi kupata viti vya ubunge kuliko chama chake kushinda uchaguzi mkuu wa Rais, kwake ruzuku ndio kila kitu.
Yaani sahivi wabongo hawadanganyiki hiyo tume ishazodolewa vya kutosha
 
Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
3,043
4,639
Sahivi bado najiuliza maswali lakini sipati jibu, uchaguzi wa 2015 Jaji Lubuva alisema tume ni huru na haiingiliwi na mtu .

Mwaka Jana Kina Mahela na Jaji Kaijage waliuaminisha umma kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki na tume ni huru.

Mwenyekiti wa tume iliyoundwa na Jaji Mtungi, professor Mkandara alisema uchaguzi ulikuwa huru na haki, Sasa sahivi wanapata wapi keherehere Cha kutaka tume huru ya uchaguzi?

Je kukiwa na tume huru, uku Raisi anacontrol Polisi,Tiss, Tamisemi na matokeo ya uraisi hayawezi pingwa popote je Kuna umuhimu wa kuwa na tume huru.

Chadema ni giant political party, kususia huo mchakato, nini hatima ya hiyo tume,, je vyama vya makaratasi na maflash kuwa wajumbe wa hiyo tume, kutawafanya watanzania wawe na Imani na iyo tume? CCM kipi kinawafanya mbadilishe tume Leo wakati kila siku mnasema tume ya Sasa ni huru .

Karibu
Kwa Mtazamo wangu yote hii ni kwa Sababu sa hivi Wazanizbari wanatawala Bara na Visiwani.Hivyo Basi bila tume Huru wazanzibari wataendelea kutumia uwezo a nguvu ya TUME ya sasa kuhakikisha kwamba wanaikalia kimabavu BARA na kuamua nani awe RAIS wa Muungano na hili litafanya watanganyika tukome.

Wanaodai tume huru ni watanganyika hawa ambao wanaona kabisa kwamba TUME ya sasa haitawafaa tena.OVA
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
20,105
42,985

Putin aliwahi kunukuliwa live; "the best way to control opposition is to lead it ...". Kwa sasa CCM wakisikia chochote kinachohatarisha maslahi yao hukimbilia kuteka hoja na kuiongoza ili iwe rahisi kuipeleka wanakotaka!
 
Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
3,567
7,148
Wahuni hao CCM, wanataka kutuundia Tume Huru kama ile ya Jecha Zanzibar....!!
hahahaha Aisee Jecha bonge la refa alivyoona timu yake inaenda kufeli vibaya akaamua afute magoli yote ya wapinzani wake Kwa kuita ni offside,kutokana na ufinyu wa technology na ukosefu wa VAR
Akaamua aghairishe mechi dk ya 80 na kuomba mechi irudiwe Tena!
Jecha kama Jecha kiboko ya Wala urojo huko visiwa vya karafuu!
😂😂😂😂
 
Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,055
3,966
Kwa Mtazamo wangu yote hii ni kwa Sababu sa hivi Wazanizbari wanatawala Bara na Visiwani.Hivyo Basi bila tume Huru wazanzibari wataendelea kutumia uwezo a nguvu ya TUME ya sasa kuhakikisha kwamba wanaikalia kimabavu BARA na kuamua nani awe RAIS wa Muungano na hili litafanya watanganyika tukome.

Wanaodai tume huru ni watanganyika hawa ambao wanaona kabisa kwamba TUME ya sasa haitawafaa tena.OVA
Mmmmm
 
Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,055
3,966
Putin aliwahi kunukuliwa live; "the best way to control opposition is to lead it ...". Kwa sasa CCM wakisikia chochote kinachohatarisha maslahi yao hukimbilia kuteka hoja na kuiongoza ili iwe rahisi kuipeleka wanakotaka!
Sasa CCM wanawateka kiakiri kina Zito , Shibuda,cheyo ambao wakiitisha mkutano wanaoudhuria Ni wake zao tu
 
7 Reactions
Reply
Top Bottom