Ntozi
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 226
- 299
Ukitembelea vituo mbalimbali vya kutolea huduma za afya nchini utakutana na mambo makubwa mawili. Kwanza ni mlundikano wa wagonjwa,na pili ni uhaba wa madawa na vifaa tiba.
Zaidi ya robo tatu ya hao wagonjwa, ni Yale yanayozuilika. Hapo ni hakuna elimu yoyote ya maana ambayo ingesaidia kupunguza hayo maambukizi mbalimbali. Kuhusu umasikini hali ni mbaya kupita maelezo. Maneno yanayotolewa na wachache wanaotafuna keki ya nchi, ni kufarijiana tu, lakini maisha ya watu walio wengi mijini na vijijini ni duni sana.Watu wanajituma ana kufanya kazi walizonazo, lakini hakuna dalili za kuwakimbiza hawa maadui.
Watu wanahangaika tu na namna watakavyopata uongozi wa juu,lakini hawana agenda ya jinsi ya kuwashinda hawa maadui watatu
Kama tumelaaniwa,basi tufunge na kuomba ili tuondokane na hii laana. Tunahitaji task force. Tuwachukue viongozi wachache kutoka tuwa tuwachanganye na wengine wachache kutoka vyama vya upinzani waongoze nchi.Lakini CCM peke yao ni ngumu.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app