Jaji Jacob Mwambegele amrithi Kaijage. Ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji Jacob Casthom Mwambegele kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), akichukua nafasi ya Jaji Mstaafu Semistocles Kaijage ambaye amemaliza muda wake

Jaji Mwanaisha Athuman Kwariko ameteuliwa kuwa Mjumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC). Pia, Rais amemteua Jaji Sam Mpaya Rumanyika wa Mahakama Kuu kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani

Taarifa zaidi:

4E95F16B-40E1-45B3-A039-EA38E7D88366.jpeg
 
Safi sana
Ukisimama nchali, Ukikaa nchali, Ukichutama nchali

Mnyakyusa huyo, Hao hawana aibu kabisa

Imbombo Ngafu na Ingafu kweli

Imekula kwenu CDM na ACT

Naongea haya sio kwa kutania, Mpira umeisha kabla ya ratiba ya uchaguzi kutangazwa

Miaka hiyo unaweza kutana na mtu toka Mbeya amerudia darasa la saba zaidi ya mara nne kwa majina tofauti tofauti ili afaulu Mtihani ajiunge na Sekondari, Hii ni bila aibu

Wanyakyusa hawana aibu wao wanaita Soni

Utaambiwa mpira ni goli tano kwa Sifuri hata kama hukushiriki na hata kama Timu haijaingia uwanjani

Mambo ya Tume huru ya uchaguzi hayo

All in all, Naunga mkono uteuzi huu kwa gundi na misumari

Probability ya ccm kushinda ni 3/4 ya kura zitakazohesabiwa

Wengine mtagawana 1/4 ya kura zilizobaki

Nimepata nguvu mpya ya kuandika vizuri report yangu ya PhD hapa Dodoma baada ya huu uteuzi

Yule member mleta habari za Chadema Eryth...... huyu mnyakyusa wanatoka wote Mbeya, Sasa atamtukana ndugu yake ambaye wanatoka kijiji kimoja au atawaunga mkono wachaga
 
Mtoa mada ni mkabila nenda Burundi au Rwanda ,vyuo vya kata vinaharibu watu .
 
Duh! na umesema kuwa unamalizia kuandika report ya phd .... Mifumo yetu ya elimu inatatizo sehemu
 
BADO KUWAKATA NDUMILAKUWILI NDANI YA CCM NA WALE AMBAO SIYO WATAKAOTAKA UBUNGE NI KUKATA MAJINA TU, HAKUNA KUCHEKA NA KIMA.
 
Back
Top Bottom