Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mama Samia amejengwa na utamaduni wa wazanzibari wa "muhali". Huku bara hakuna kitu kama hicho. Jitu likikuamulia kila uchwao linaongeza mbinu za kukuangamiza. Kingine ni kwamba mijitu ya huku...
6 Reactions
43 Replies
3K Views
Sehemu ya 16 ya kanuni za kudumu za Bunge inafafanua kwa uzuri kabisa jinsi ya kumuondoa Spika na Naibu Spika. Enjoy!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naibu Spika wa JMT, Tulia Ackson amempiga Spika wa Bunge Job ndugai kijembe cha kibonzo kupitia mitandao yake ya kijamii. Ndugai ambaye kwa awamu ya tano alikuwa akiongoza kampeni ya kwenda kukopa...
33 Reactions
125 Replies
12K Views
Kwa hotuba ya leo ya Samia kama Ndugai asipojiuzulu basi hana akili timamu na anatumikia tumbo lake tu. Samia amesema wazi kuwa kilichomsukuma Ndugai kupinga mikopo ni Uchaguzi Mkuu wa 2025...
32 Reactions
530 Replies
38K Views
Kuwepo kwa vyama imara vya upinzani nchini na wabunge wengi wa upinzani bungeni ndiko kunakowaunganisha wanachama na wabunge wa CCM na kujiona ni kitu kimoja dhidi ya vyama na wabunge wa upinzani...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Mpk sasa za chinichini Ndugai hajiuzuru kwa sababu ya backup kubwa aliyonayo ya Team Magu wakiongozwa na Kassim Majaliwa Za ndani kabisa zinasema wamemwambia agome kujiuzuru ili wanaopeleka...
3 Reactions
59 Replies
4K Views
Kama ni kweli hakuwa na nia mbaya ya kuziponda tozo, na mkopo wa tril 1.3 basi wahuni waliodukua na kuifoji hiyo klip ili kumuonyesha spika akiponda mkopo wa tril na kudai watanzania tutauzwa...
7 Reactions
98 Replies
7K Views
Tangu mama kuingia madarakani kwa bahati mbaya ya kufa kiongozi mpendwa Tanzania magufuli amekuwa hana political base kwa hivyo amejibainisha kama mtetezi wa kupata madaraka wanawake. Tunaweza...
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Ninaamin na wengi wanaelewa kwa katiba hii ya 1977,tuna mhimili mmoja tu hapa Tanzania,hii mingine ya mhimili wa mahakama na mhimili wa Bunge ni formalities tu,ipo lakini haifanyi kazi...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Ni maneno ya Bibi mmoja kwenye daladala~ alikuwa muuza mboga kwasasa ameacha. Wakati baba yupo inamaana mama alikuwa anaishi kwa kuigiza au mama alikuwa anaskilizia. Baba mama anageuka, amini siku...
2 Reactions
4 Replies
827 Views
Huo ni "UONGO" wa wazi... Jenerali Ulimwengu ameshanunuliwa na Mafisadi ili wapate sababu za kuuza umeme wa IPTL na Symbion huku wakihujumu Mradi wa Bwawa la Nyerere!! Sote tunafahamu jinsi...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Waswahili wanasema mwenzio akinyolewa wewe zako tia maji. Hapa sihitaji kueleza sana. Mliobaki jitahidini kukosoa kwa staha. Haijalishi hoja yako ina uzito kiasi gani. Hakikisha hauna ulicho...
0 Reactions
1 Replies
489 Views
Kwanza nimpe pole Speaker mstaafu kwa yaliyompata. Na hili liwe funzo kwetu kuwa unapokuwa na madaraka usiumize upande mmoja huwezi kujua kesho itakuwaje. Kuna observation nimeipata kutokana na...
2 Reactions
3 Replies
627 Views
Je Rais Samia kama Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar amewahi kutembelea Pemba? Au wapemba si watu???
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Mwigulu Nchemba atazimudu siasa za wizara ya ulinzi kama tetesi zinavyosema au ndo atakwenda kupeleka siasa za wizara kwenye Jeshi? Kwangu mimi huyu si mtu sahihi kwa wizara ya ulinzi. Mzee...
14 Reactions
150 Replies
17K Views
Mapokezi ni babkubwa Mama yetu Mkuu wa Nchi na Kamanda Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania nzima Mama Samia Suluhu Hassan kesho Ijumaa Rasmi atatua Visiwa vya Karafuu kule Pemba kwa ajili kilele...
6 Reactions
55 Replies
5K Views
Yaani watu tunashangilia kujiuzuru kwa ndugai kisa kahoji mikopo Dah hiyi nchi ngumu sana Kabisa serious tunafurahia na tulipiga Na makelele ajiuzuru ajiuzuru kisa tu kwa kuwa historia Yake ya...
19 Reactions
54 Replies
3K Views
Nchi yetu hii ilifikia hatua nzuri sana ya watu kuwa huru kutoa mawazo yao,bahati mbaya baada ya Jakaya Kikwete kutoka madarakani tulianza kutunga sheria kali dhidi ya wenye mawazo kinzani. Wenye...
1 Reactions
0 Replies
722 Views
Ndani ya CCM ulizaliwa mfumo wa wabunge kupita kwa hisani ya Mwenyekiti, mfumo huu unakenda kuzima mabishano ya hoja. In long-run hakutakua na kiongozi nchini atakayetoboa bila kumnyenyekea...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwanza nieleze kuwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi kuna mihimili 3 katika nchi, ambayo ni Serikali, Bunge na Mahakama, ambayo inatakiwa kufanya shughuli zake bila kuingiliana, katika kile...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…