Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ukifuatilia siasa za Tanzania ndivyo huwa zilivyo hivi hasahasa CCM ndio huwa wanaleta taharuki ukiwa mgeni kwenye haya mambo unaweza kudhani nchi itagawanyika lakini la hata haitakua hivyo hali...
2 Reactions
16 Replies
928 Views
Naona mmekenua meno na vijinopembe huku mkisahau kuwa kisiasa mna hali mbaya sana. Maana pamoja na kutembeza mabakuli ya kidigital lakini hamkupata sapoti Mbali na hilo wananchi hawana imani na...
7 Reactions
94 Replies
5K Views
Leo Samia amefanya kosa kubwa sana kwa kitendo chake cha kujibu mashambulizi kwa Ndugai. Hii mbungi ya Ndugai ndo ilikuwa chance kubwa ya mama kuwajua maadui zake kwa kirefu. Mama angepaswa kuwa...
49 Reactions
185 Replies
14K Views
Mwaka 2022 hadi 2023 kutatokea mabadiliko makubwa ya viongozi katika ngazi za Kati na ngazi za juu. Sababu zipo nyingi Ila sababu kubwa ni hii "kukosa washauri sahihi juu ya kupata majibu sahihi...
5 Reactions
49 Replies
6K Views
Huu ndo ukweli hii ni serikali ya Mpito kwakuwa haujafanyika uchaguzi wa kumchagua Rais, Rais aliyekuwepo madarakani alifariki hivyo katiba imempa alikuwa makamo wa Rais awe Rais japo katiba...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kikatiba na kisiasa muhimili wa Bunge ndio muhimili mkubwa (Supreme or Principal Organ ) kuliko mihilimili yote. Jukumu kubwa la Bunge ni kuisimamia Serikali na kuishauri kwa mujibu wa ibara ya...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Sayansi ya utawala inabainisha kuwepo kwa serikali ambayo ni mfumo wenye mihimili mitatu- watawala na watumishi wa dola, bunge na mahakama. kati ya hii mihimili mitatu hakuna unaojitegemea wala...
0 Reactions
0 Replies
706 Views
Ni nani huko CCM wa kumhakikishia mama kuwa 2025 wanaenda na yeye? Maana bila kufanya hivyo inaondoa utulivu na kuleta Maendeleo kwetu wananchi. Bado hofu na homa ya 2025 ni kubwa, hii...
27 Reactions
100 Replies
7K Views
Nimekuwa nikisika Mara kwamara mtu anapofariki au kufawatu wanasema ameaga dunia, Sasa mi huwa najiulizaga kila siku ameiaga vipi na dunia iko wapi ili na sisi tuiage kabla kabisa ya madhira haya...
0 Reactions
11 Replies
762 Views
Kuna kina mama walikuwa sideways wakati ndugai akiongea...na walimsupport. Ndugai alisema hii ni sahihi sijui hii ni sawa. Kuna mmama mmoja akasema 'not at all. Hao nao hawana budi kuondoka...
5 Reactions
48 Replies
4K Views
Mwana harakati na Mjasiriamali carol Ndosi kupitia kipindi cha Joto Kali la Asubuhi TV-E ameweka wazi kukerwa kwake na kitendo cha Rais Samia kila anapopata nafasi kuongea na Watanzania basi...
54 Reactions
200 Replies
15K Views
Wala sihitaji kuandika gazeti hapa, raha ya mchuzi wa mbwa ni ukiwa wa moto. Ccm inasafisha takataka bandani mwake na tarehe 2 February tutapata spika mpya, hivyo nashsuri chombo cha juu cha...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amesema alimpigia simu Rais Samia siku mbili baada ya kuapishwa kwake na ilipokelewa na msaidizi wake. Lissu aliacha ujumbe wa kuomba kukutana na Rais...
6 Reactions
66 Replies
6K Views
Mwalimu Mwakasege amesema kufuatia mabadiliko yanayokuja duniani kote kutokana na athari za Covid 19 tutegemee uvunjifu wa amani, fitna na hata maandamano. Mwakasege amesema mabadiliko ya...
1 Reactions
1 Replies
564 Views
CHADEMA imetoa shukrani rasmi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kitendo cha kumtembelea Tundu Lisu Nairobi hospital alipolazwa baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana Mwenyekiti wa CHADEMA...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa yanayojiri Ikulu Dar katika mkutano wa Rais kupokea taarifa ya matumizi ya fedha za UVIKO 19, Spika wa bunge Ndugai ameshambuliwa sana pamoja na kuomba kwake radhi. Pamoja na vijembe...
66 Reactions
248 Replies
19K Views
Nawatakia nyote Heri ya mwaka mpya 2022. Hili ni bunge la 12, je litabaki hivyo baada ya ujio wa Spika mpya? Ni katika kujielimisha tu. Mungu wa mbinguni awabariki nyote!
4 Reactions
110 Replies
5K Views
Kupigiwa mizinga 21? , Kuwekewa red carpet? Kuvaa tai nyekundu? Kuwa na walinzi kama njugu? Kuna nini kwenye haya mamlaka ya kutawala na kuwa mkuu wa nchi? Je sio kuwatumikia na kuwaletea...
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Mimi sikuwa muumini wa katiba lakini ,sakata la speaker msitaafu job ndugai limenifungua macho, muhimili wa bunge hauko huru,rais ana mamlaka ya kumng'oa speaker asubuhi mapema kama ilivyo Sasa...
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…