Zitto Kabwe aliwahi kutuonya tusiwaamini Wanasiasa hata siku moja.
Nakumbuka Nape Nnauye alikuwa kipenzi cha hayati Magufuli hata kwenye ile bendi ya chama ilikuwa ukimuona Magufuli anapiga tumba...
Hii kama sijakosea jina ni "sparmsonow" kama jina nimelipatia hii dawa ilingiia mkoani kagera kwa ajili ya kuuliza magugu Yale yaliyojukukana kwa jina olwumbugu.
Sawa hii ilikuwa unapulizia na...
Ninawakumbusha tu kwamba Zanzibar ni nchi kamili na ilijikomboa baada ya kumfurusha Sultani.
Wale mnaoleta utani kwamba Zanzibar ni mkoa hamuijui historia.
Mkoa ni Kilimanjaro na Kigoma ambayo...
Ilikuwa ni familia yenye amani , upendo na furaha. Lakini watoto wote hawakuwa sawa, baba aliwajua watoto wake vyema . Kabla hajafariki baba wa familia aliwaasa wana familia yake ya kuwa mtoto...
Mambo yasiwe mengi.
Massele ana uzoefu na uongozi wa bunge kupitia bunge la Afrika.
Kijana aliyekuwa tegemeo la mikakati katika awamu ya Nne Stephen Maselle sasa anapiga jaramba tayari kuungana...
Joyce Ndalichako anapenda kuongea Kiingereza lakini Kiingereza hakimpendi. Hebu aliyemuelewa hapa atuambie alikuwa anataka kusema nini?
Hii ni mara ya 2 ndani ya siku 60 kwa Waziri kuongea...
Enzi za mababu zetu , MACHIFU, waliumiza sana watu, waliwapiga MNADA kama vile mbuzi ama nguruwe, na wao kujimilikiaha utajiri mkubwa bila kujali wala kuwa na huruma hata kidogo.
Utawala...
Kwa maneno mengine Nape Moses Nauye anataka aliyekuwa waziri wa fedha na ambaye kwa sasa ni makamu wa rais Dk Philip Mpango achunguzwe!
Basi kama ni hivyo uchunguzi ufanyike haraka na afikishwe...
Naona Majina yao hajaanza na Dr.
Je ni kwamba kuna utata wowote na hizo PhDs?au bado vyeti vyao havijawasilishwa au ni makosa ya kiuandishi tuu. wajuzi wa itifaki mtusaidie hili
Napenda kutanguliza shukrani zangu kwa mtukufu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kumteua Ridhwani Kikwete kuwa naibu wa Wazara ya Nyumba na Makazi.
Mh.Rais umeonesha uzalendo wa hali ya...
Mabadiliko ya kile kinachodaiwa kuwa baraza la mawaziri ni kichekesho naona ni harakati za kuufufua mradi wa kifisadi wa bandari ya Bagamoyo..
Linatafutwa bunge tiifu litalopitisha na kuhalalisha...
Taarifa zilipo leo kupitia watu wambea ambao hawalipwi lakini hawakubali wapitwe wamedokeza kuwa upande wote wa kaskazi ya nchi na pwani na baadhi ya maeneo mengine hapa nchi leo ofisi za Chama...
hii wizara inaitaji MTU mzoefu na mfuatiliaji kwelikweli..kumpa ndugu Bashungwa ni kama kumtega kwa Bomu dizaini ya lile la Hiroshima na Nagasaki...
MTU aliyekuwa wizara ya burudani umuweke...
Kama tunahitaji Maspika goigoi wa kuburuza wako wengi sana. Lakini kama tunahitaji Spika imara wa kuisimamia serikali kwa kumsaidia Rais kukamilisha kazi basi hawa walazimishwe kuchukuwa fomu kwa...
Haya maneno mnayatoa wapi? Kuwa baraza limepangwa na Kikwete na ameona amweke na mwanaye ndani? Acheni hizo...
Rais samia naye ana weza chagua awatakao mwacheni jamani.
Kwa mujibu wa Katiba ya Nchi yetu , hili ni bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , iliyotokana na Muunganiko wa Tanganyika na Zanzibar , Nchi mbili halali zenye haki sawa , wabunge wa bunge...
Mwigulu Nchemba(Kushoto) akizungumza na Nape Nnauye katika ukumbi wa NEC kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma 10/15/2014(Maktaba)
Mh. Nape Moses Nnauye...
Tuna nchi ambayo viongozi hawawajibiki kwa wananchi wala hata kwa kauli zao.
Tafsiri halisi ya kuwa uongozi kwao ni fursa wala si dhamana.
Kama fursa viongozi hawa wamejihakikishia marupurupu ya...